Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Hapana Victor si muumbui,ila hili ni jukwaa tu tunaelimishana,mfano awali nilimkosoa kwenye symbol rate badala ya 3210 akaandika 1032,sasa mtu anaweza akaanza majaribio akakosa kitu kwa kosa dogo si unajua mambo ya dish satellite ukikosea frequency au SR hupati kitu,mala ya pili nimenyoosha tu maelezo,maana Eutelsat @7' naifahamu toka GTV (G sports)walipokuwa wanaitumia hiyo satellite.

BURTON JORDE

safi sana mkuu,umeeleweka vyema,kama una friquenc nyingne naomba share nasi mkuu.
 
na nyie muache habari za epl. Nani awape epl kwa 12500. Mbona startimes wanalipa mbaka 40elfu na bado epl hawaoni. Ili jamaa waweze kuonesha epl inabidi tulipe sio chini ya elfu 80. Je wangapi watalipa? Je ataweza kushindana na dstv ambao tayari wamecover nchi nyingi?

Sio kweli GTV tuliangalia kwa 40/50.
 
Mie sijakuelewa kidogo kuhusu aina ya sattelite ambayo tunaedit inaitwaje sema jina lake tafadhali ili nielewe, pia una maanisha nn kwa neno hili io?
 
Hapo haina ulazima sana wa kuedit,wee chagua tu satellite ya KU sio C-band kisha insert hizo transponder moja baada ya nyingine.

BURTON JORDE
 
Mkuu hatua za kuongeza satellite au frequence kwenye king'amuzi cha Azam zikoje, yani umetumia option gani kwenye king'amuzi ktk kuongeza satellite?

kuongeza satellite au channel,
nenda main menu» search» satellite list
pale chini utaona rangi na function yake mbele unachagua
ukitaka kuadd frequency na symborate yake una unabofya arrow ya kulia,pia utaona rangi pale chini na function zake.
ukifuta hivo utaweza kuadd satellite na frequency.
 
Wadau wote kwa pamoja embu tupeane elimu ya nin una fahamu kuhusu azam tv.. Binafsi natoa freequence hapa na matumiz yake karibuni wote.

UPDATE...
................................

Kama una dish la azam umelifunga na linafanya kazi vizuri,chomoa io decoda ya azam tv,chomeka receiver ya FTA{kama unatumia madish haya ya futi 6 na unaipata itv na nduguze} edit io sat ya intel 906 kwa kawaida inakuaga ya kumi na sita,alafu chagua io inayo fata ambayo ni ya 20, kisha tumbukiza frequence hizi.

12728h,30000 simborate utapata free chanel bureee.

Mkuu tupe hizo za kiona epl
 
11192h,03210, pia tumbukiza na hii upate moja ya congo 10962h,03253

Mkuu najua upo hewani bado,
hii hapa kwangu imegoma
12645 h 30000 ila zile zingine mbili zimekubali zinaonyesha vizuri kwenye receiver ya kawaida.
Tatizo inaweza kuwa nini labda hiyo frequence ina channel zipi?
 
jari kutazama ku yako iyo rf cable ina tazama wapi,make sure inatazama chini,hop utafanikiwa mkuu.
 
Hapa naona game ya Sunderland vs Southampton live kupiita
Rodriguez Tv 2, ni kwa receiver ya kawaida
Big up
 
Wadau wote kwa pamoja embu tupeane elimu ya nin una fahamu kuhusu azam tv.. Binafsi natoa freequence hapa na matumiz yake karibuni wote.

UPDATE...
................................

Kama una dish la azam umelifunga na linafanya kazi vizuri,chomoa io decoda ya azam tv,chomeka receiver ya FTA{kama unatumia madish haya ya futi 6 na unaipata itv na nduguze} edit io sat ya intel 906 kwa kawaida inakuaga ya kumi na sita,alafu chagua io inayo fata ambayo ni ya 20, kisha tumbukiza frequence hizi.

12728h,30000 simborate utapata free chanel bureee.

Kwenye king'amuzi changu channel zipo mbilimbili. Nawezaje kuziondoa? Maana orodha ya channel inakuwa ndefu wakari channel hazizidi 60
 
Jamani mie labda sijaelewa somo, mm nina dish na king'amuzi kimoja tu cha AZAM, je haya maelekezo mnayotoa yanaitaji dish la pili ama?
 
Jamani mie labda sijaelewa somo, mm nina dish na king'amuzi kimoja tu cha AZAM, je haya maelekezo mnayotoa yanaitaji dish la pili ama?

NO hapa dish ni hiyohiyo moja la azamtv, we toa cable kwenye lnb in hapo hamishia kwenye receiver ya kawaida. Hapo ingiza frequency uliyopewa then search .
DISH NI MOJA TU
 
Sio kweli GTV tuliangalia kwa 40/50.
GTV walitaka kuwaondoa DSTV kwenye soko...very luck to DSTV, GTV wakakumbwa na msukosuko wa mtikisiko wa uchumi otherwise DSTV hivi sasa ingekuwa ama wanapumulia mashine au wamekufa kabisa...jamaa walikuwa very aggressive!
 
hapa tena wanaonyesha game ya Cardif vs Wigan LIVE
channel ileile RODRIGUEZ TV2
 
hapa tena wanaonyesha game ya Cardif vs Wigan LIVE
channel ileile RODRIGUEZ TV2

Vzr kijana, endelea ku enjoy maana kuna m.jinga m.jinga mmoja anajifanya anajua sana kazi yake kukosoa na hata freq moja hajaweka. Then nihesabie kwa wiki umeona mechi ngapi kwa hiyo channel live
 
Back
Top Bottom