Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Azam TV
wadau,hii ni taarifa tunawapa wateja
wetu,hatuna haki ya kuendelea
kuzionesha chanel hizo za kenya NTV
na K24 nje ya mipaka ya
Kenya,Tutakapoanza kupatikana rasmi
Kenya na Uganda kama ilivyo mipango
yetu,hizo chanel zitaruka Azam Tv
Kenya,kama ambavyo local chanel za
hapa kwetu zisivyopatikana kwenye
visimbuzi vya Kenya au Uganda..ni
namna hizo chanel zilivyokubaliana na
kisimbuzi husika.Ni sawa na ambavyo
wadau wetu mnavyoweza kuingiza
chanel za MBC 3 ya Mauritius ndani ya
Azam TV kwa kumuita fundi wako
binafsi,ni uwezo wa Azam TV kuingiza
chanel hizo lakini haki ya kuzionesha
hatuna,lakini wateja wetu mnazo,na
zinaonesha mpira,sasa wakigundua
tunawafungia wateja wetu kama moja
kati ya chanel zilizo ndani ya package
yetu,wana uwezo wa kutushtaki ama
kututaka tuzitoe,kama ambavyo NTV na
K24 wamefanya..
Edited · Like · 3 · Reply ·
Wednesday at 7:09pm
3 replies
 
huduma zenu ni super

Naweza ku add tv za horn of africa
Kama ethiopia tv
Horn cable tv
Somali chanels
Msaada plse
 
Does azam tv show MBC 2 MBC MAX ..BOLLYWOOD.. NATIONAL GEOGRAPY BBC EDUCATION..HISTORY DOCUMENTARIES
 
Azam TV
wadau,hii ni taarifa tunawapa wateja
wetu,hatuna haki ya kuendelea
kuzionesha chanel hizo za kenya NTV
na K24 nje ya mipaka ya
Kenya,Tutakapoanza kupatikana rasmi
Kenya na Uganda kama ilivyo mipango
yetu,hizo chanel zitaruka Azam Tv
Kenya,kama ambavyo local chanel za
hapa kwetu zisivyopatikana kwenye
visimbuzi vya Kenya au Uganda..ni
namna hizo chanel zilivyokubaliana na
kisimbuzi husika.Ni sawa na ambavyo
wadau wetu mnavyoweza kuingiza
chanel za MBC 3 ya Mauritius ndani ya
Azam TV kwa kumuita fundi wako
binafsi,ni uwezo wa Azam TV kuingiza
chanel hizo lakini haki ya kuzionesha
hatuna,lakini wateja wetu mnazo,na
zinaonesha mpira,sasa wakigundua
tunawafungia wateja wetu kama moja
kati ya chanel zilizo ndani ya package
yetu,wana uwezo wa kutushtaki ama
kututaka tuzitoe,kama ambavyo NTV na
K24 wamefanya..
Edited · Like · 3 · Reply ·
Wednesday at 7:09pm
3 replies

naomba frequence za mb3 wapendwa
 
hata zuku inakubali signal ziko vizuri,fanya utundu ufaidi.

Samahani mkuu ninaomba unielekeze namna ya kuadd hizo frequence kwenye ZUKU decorder.... Maana nina hamu ya kujua hii kitu. Please help.
 
kuna channel mpya FTA zinaonyesha ambazo ni

SABC 1
SABC 2
SABC 3
ETV
zote za south africa wadau.. via ses 5
#ZUKU #AZAM
 
kuna channel mpya FTA zinaonyesha ambazo ni

SABC 1
SABC 2
SABC 3
ETV
zote za south africa wadau.. via ses 5
#ZUKU #AZAM

Kwenye frequency gani? Pia satellite ipi 7E ya Azam TV au mpka ufanya adjustment ya dish kidogo ni vizuri utoe maelekezo ya kutosha ili tuweze kujua cha kufanya mkuu
 
msaada wapendwa nina dekoda ya q-sat q 116 nimeshadanulodi stesheni 256 tatizo nikiiweka kwenye dish la azam inaonyesha strengh 90% quality 0% je nifanyeje ili nipate uhondo au nitumie atena ya kawaida lakini sijaijaribu.Tafadhari msaada wakuu.
 
11785/27500 H
SABC

walikua kwenye matengenezo since juzi zilikua Free to Air ila leo saa 12:30 zimezuiwa ghafla


SES 5.0 East
 
11785/27500 H
SABC

walikua kwenye matengenezo since juzi zilikua Free to Air ila leo saa 12:30 zimezuiwa ghafla


SES 5.0 East

Mbona Azam iko 7E au inashika hadi 5E I think lazima ufanye adjustment ya dish kidogo.
 
huu uzi ndio ulinifanya nikanunua azam decoder but naona maujanja wanapeana inbox tuuu hapa hata ukiuliza swali hujibiwi
 
Back
Top Bottom