Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Sisi wengine tutaendeelea kubaki dstv mpaka mchawi wa kutegua kitendawili cha epl atakapo patikana, kwetu sis wazee wa torrent sihitaji movie channels za nini wakati siku hizi kila movie na series napata kabla m net na mbc wajaonyesha kwenye premium chanel zao, just mpira tuleteeeni epl wazalendooo tuachane na makaburu
 
mbadala wa dstv ni irib kwa sasa.
 
msaada wapendwa nina dekoda ya q-sat q 116 nimeshadanulodi stesheni 256 tatizo nikiiweka kwenye dish la azam inaonyesha strengh 90% quality 0% je nifanyeje ili nipate uhondo au nitumie atena ya kawaida lakini sijaijaribu.Tafadhari msaada wakuu.

inawezekana hauna chanel za azam,au hauja ifikia signal ya azam ambayo iko 7a@e jalibu ku adjast dish lako.
 
Mbona Azam iko 7E au inashika hadi 5E I think lazima ufanye adjustment ya dish kidogo.

inakulazimu ulishushe chinikidogo dish lako ktk signa za 65-68 ndi utaipata ses@5e.
 
Naona tatizo kubwa wengi wanataka kuona Epl! Mbona kunajia nyingine raisi tu tofauti nadish! Najua singeni kwenu ila inasaidia pia! Mihutumia live streaming kupitia my laptop! Najiunga kwa mb 300 na zama kwa link itwayo cricfreetv.com ambapo napata skysport one mpaka 4, bet one mpaka 3 na n.k. naangalia mechi zangu nkwa kukuza picha kutoka kwenye laptop mpaka kwenye lcd tv yangu! Kwa wiki natumia 3000 naona mechi zote! Hakikisha tu upo kwenye 3g network

Mi nashangaa wanachoangaikia raia ni nini hasa kama ni soka la Ulaya,Amerika na Asia kuna stream TV nyingi tu na unaweza ukaunganisha kwa TV yako ila nadhani raia hawaelewi hilo mi jero daily naangalia hadi nachoka
 
Naona tatizo kubwa wengi wanataka kuona Epl! Mbona kunajia nyingine raisi tu tofauti nadish! Najua singeni kwenu ila inasaidia pia! Mihutumia live streaming kupitia my laptop! Najiunga kwa mb 300 na zama kwa link itwayo www.cricfreetv.com ambapo napata skysport one mpaka 4, bet one mpaka 3 na n.k. naangalia mechi zangu nkwa kukuza picha kutoka kwenye laptop mpaka kwenye lcd tv yangu! Kwa wiki natumia 3000 naona mechi zote! Hakikisha tu upo kwenye 3g network
Yoga ngoja nilifanyie kazi hili ntakupa feedback maana nalipia DSTV home premium wakati mpira naangalia peke yangu wengine wapenzi wa tamthilia tuu
 
Mi nashangaa wanachoangaikia raia ni nini hasa kama ni soka la Ulaya,Amerika na Asia kuna stream TV nyingi tu na unaweza ukaunganisha kwa TV yako ila nadhani raia hawaelewi hilo mi jero daily naangalia hadi nachoka

hi, which receiver na how many mbs does it consume
 
Futi 6 ni kama la azam au kubwa zaidi ya hilo!! Au nisaidie roughly inacost kias gan for complete installation

dish la azam ni ft3,apa azungumzia yale madish makubwa tulio kua tuna tumia zamani kuziona itv,tbc na nduguze.
 
Mi nashangaa wanachoangaikia raia ni nini hasa kama ni soka la Ulaya,Amerika na Asia kuna stream TV nyingi tu na unaweza ukaunganisha kwa TV yako ila nadhani raia hawaelewi hilo mi jero daily naangalia hadi nachoka

usitake kuwa pumbaza watu,sio kila mahali 3g inapatikana,maeneo mengne net ya simu tu shda.
 
Sisi wengine tutaendeelea kubaki dstv mpaka mchawi wa kutegua kitendawili cha epl atakapo patikana, kwetu sis wazee wa torrent sihitaji movie channels za nini wakati siku hizi kila movie na series napata kabla m net na mbc wajaonyesha kwenye premium chanel zao, just mpira tuleteeeni epl wazalendooo tuachane na makaburu

funga kazi na kidogo waongeze na documentaries channel
 
Back
Top Bottom