franco15
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 518
- 208
Huduma za azam tv ni supa!!!. Ila nina tatizo sijui ni king'amuzi changu tu? ila yani naona kama hakina nguvu na haiko stable sometime sauti na picha zinatofautiana na ukitumia USB kuplay media inatumia muda sana kucheza video inayofuata. Nataka nikirudishe so nipeni experience zenu nijue kama ni vyote au changu tu