Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Elimu ya bure kuhusu Azam TV

kuna mtu alikua anatoa maelekezo kwenye AZAMTV FBPAGE na adm akawa anatoa maelekezo namna ya kufanya kupitia huyo mtu na akaandika yeye hausiki au haruhusiwi kumuelekeza mtu ila anaetaka kupata hizo new chanel afuatilie maneno ya huyo mdau.

achana nae uyo hii ni dunia huru bna.
 
Wadau wote kwa pamoja embu tupeane elimu ya nin una fahamu kuhusu azam tv.. Binafsi natoa freequence hapa na matumiz yake karibuni wote.

UPDATE...
................................

Kama una dish la azam umelifunga na linafanya kazi vizuri,chomoa io decoda ya azam tv,chomeka receiver ya FTA{kama unatumia madish haya ya futi 6 na unaipata itv na nduguze} edit io sat ya intel 906 kwa kawaida inakuaga ya kumi na sita,alafu chagua io inayo fata ambayo ni ya 20, kisha tumbukiza frequence hizi.

12728h,30000 simborate utapata free chanel bureee.

Asante mkuu niluweza kutoa uvivu na Ku install dish la azam TV haya madogo..nimepata channel za azam kwa signal quality 37% na pia nika add sat nika add freq nikapata ridrigues TV,
 
LESEN ZA KUONYESHA MIPIRA YA ULAYA ZINAISHA MSIMU HUU
SO APA BAKHRESA AJIPINDE TU NA AZAM TV YAKE KUTOA MPUNGA MREFU ILI AZAM TV IPATE IZO HAKI LA SIVYO Dstv wataendeleza hu dictator wao tu
 
Update wakuu Ni Azam for life
Kwa wale waumini wa dini ya kiislamu tumia frequecy hizi hapo chini kupata chanel za dini ya kiislamu, nimezifanyia utafiti unachotakiwa ni kuadd satelite nyingine ya degree 68.5 E. Kama ulishaongeza hiyo sat kipindi cha nyuma basi unachotakiwa ni kuiendea hiyo sat na kuiongezea frequency hizo.
12729 H 30001 kuna nyingi na nyingine hazioneshi utafuta zisizoonesha.
11823 V 27501 hapa kuna chanel HD pia ukizitaka ni wewe.
12015 V 29950 napo zipo chanel kadhaa.
Angalizo kuna chanel zitajirudia hasa zile Muvi tv,combo na kundi lake. Nilichogundua kuna HD na SD na kwa Azam tv haiongezi neno HD ila utazigundua kwa mng'ao hivyo utafuta ya sd na kubakiza Hd. Kingine za hd hazikwami hovyo lakini za sd kuna wakati zinakwama hasa ukihama chanel iliyokuwa Horizontal na kwenda chanel iliyo Vertical. Happy sunday ngoja nikasali jumuiya
 
Naomba jina la sat or ni add jina lolote
 
Ph - 25
Ni kweli kimahesabu ni ngumu nimenunua sat finder nimeset saizi ipo fresh naangalia ila naomba kama kuna frequency au sat ya kuongezea naomba unitumie please. Thank you in advance
 
ustegemee kuona epl kwa shiling 12000 kwa mwezi hiyo kitu haitowezekana na ukija kuaangalia dstv wana miaks m3 na ucl ndo maana siku hz ucl mech zinaonyeshwa 1 kwa wiki either j4 au j5 wakat zaman ucl ulikuwa unacheki fta mech zote labda hiyo offer aende kweny fa
 
ukisoma uzi huu vizuri utapata ukitakacho. Note: ukipenda kutumia sana sat finder ipo siku itakupoteza maboya,kwan inaweza ikakupa signal ukajua imeingia ile una shuka toka juu ya bati tu nayo uku inatoka,ni bora uiset rcver iwe inakuongoza kama sat finder.
 
Naomba jina la sat or ni add jina lolote
Mie nimejaribu nimepata channel za mwanzo zile za akina muvi TV groups sijaona mpya labda ungetusaidia orodha ya channels. Pia mie hazijaja SD na HD au kuna setting za kufanya kwenye receiver
 
Update wakuu Ni Azam for life
Kwa wale waumini wa dini ya kiislamu tumia frequecy hizi hapo chini kupata chanel za dini ya kiislamu, nimezifanyia utafiti unachotakiwa ni kuadd satelite nyingine ya degree 68.5 E. Kama ulishaongeza hiyo sat kipindi cha nyuma basi unachotakiwa ni kuiendea hiyo sat na kuiongezea frequency hizo.
12729 H 30001 kuna nyingi na nyingine hazioneshi utafuta zisizoonesha.
11823 V 27501 hapa kuna chanel HD pia ukizitaka ni wewe.
12015 V 29950 napo zipo chanel kadhaa.
Angalizo kuna chanel zitajirudia hasa zile Muvi tv,combo na kundi lake. Nilichogundua kuna HD na SD na kwa Azam tv haiongezi neno HD ila utazigundua kwa mng'ao hivyo utafuta ya sd na kubakiza Hd. Kingine za hd hazikwami hovyo lakini za sd kuna wakati zinakwama hasa ukihama chanel iliyokuwa Horizontal na kwenda chanel iliyo Vertical. Happy sunday ngoja nikasali jumuiya
Mkuu ungetusaidia hiyo orodha ya channels sababu nimejaribu nimepata zile za muvi TV and others means za a wali. Pia sijaona sehemu ya SD na HD au hizo una set kwenye receiver. Tusaidie orodha ndo tutaweza jua ni mpya au no za a wali.
 
Kuna Africa tv swahili hii ni ya kiislmu na ni kiswahili frequency 12729 H 30001
 
Mkuu ungetusaidia hiyo
orodha ya channels sababu nimejaribu nimepata zile za muvi TV and others
means za a wali. Pia sijaona sehemu ya SD na HD au hizo una set kwenye
receiver. Tusaidie orodha ndo tutaweza jua ni mpya au no za a
wali.

Ki ujumla chnls zote mnazopata kama FTA,baadhi zipo ktk E7A @ 7 degrees East, ambapo ndipo ilipo package ya Azam tv,na Muvi tv package ya Zambia ambao mpaka sasa wana chnls 6, . Na pia baadhi zipo ktk SES 5 @4.9 degrees East ilipo ZUKU TV PACKAGE., hapa zipo chnls nyingi Fta kama dish lako limesetiwa vizuri ili kunasa satellite zaidi ya moja, na lnb yako iwe bora db 0.1 hivi au 0.3. Hapa utapata chnls za Congo, Dw,NHK WORLD JAPAN,CCTV9,FRANCE24,GUEST CHNL YA ZUKU AMBAYO KILA MWEZI INAKUWA NA CHNL TOFAUTI KWA SASA INAONESHA NAT GEO GOLD,MWEZI UKIISHA WANAINGIZA NYINGINE, Pia zipo chnls za Nigeria nk. Frequency zake ni 11900v27500; set receiver yako kwenye frq search on utapata zingine zote ktk satellite hii ya SES 5.
 
Ahsante kwa maelezo mazuri na yanayojitosheleza. Swali dogo tu je dish la AZAM by default setting linashika zaidi ya satellite moja au mpaka nifanye adjustment kidogo kiongozi kwa sabubu nilivyoingiza hizo frequency sijapata channels mpya tofauti na hizo za Zambia na African TV ambazo nilikuwa tangia mwanzo undo maana nasema kwangu mie sijapata any new channels
 
Naona tatizo kubwa wengi wanataka kuona Epl! Mbona kunajia nyingine raisi tu tofauti nadish! Najua singeni kwenu ila inasaidia pia! Mihutumia live streaming kupitia my laptop! Najiunga kwa mb 300 na zama kwa link itwayo www.cricfreetv.com ambapo napata skysport one mpaka 4, bet one mpaka 3 na n.k. naangalia mechi zangu nkwa kukuza picha kutoka kwenye laptop mpaka kwenye lcd tv yangu! Kwa wiki natumia 3000 naona mechi zote! Hakikisha tu upo kwenye 3g network
 
Wakuu naomba msaada kuhusu zuku tv nimejaribu kuadd chanel kwa kufuata maelezo ya ph 25 lakini nimeshindwa nimekwenda menu kisha nkabonyeza ok ikaenda kwenye dvbs installation nkabonyeza ok sasa hapa kukafunguka page yenye maneno 1.antena connection, 2.satelite list, 3.antena setup,4.single satelite search na mwisho tp list sasa nimeshindwa wap pa kuadd satelite? msaada tafadhal wadau
 
Ahsante kwa maelezo mazuri
na yanayojitosheleza. Swali dogo tu je dish la AZAM by default setting
linashika zaidi ya satellite moja au mpaka nifanye adjustment kidogo
kiongozi kwa sabubu nilivyoingiza hizo frequency sijapata channels mpya
tofauti na hizo za Zambia na African TV ambazo nilikuwa tangia mwanzo
undo maana nasema kwangu mie sijapata any new channels

Adjust dish lako kwa kulishusha chini kidogo sana huku ukicheck signal ya fr 12520 h 27500 inakuwa 68% na 12603h3000 inacheza kwenye 65% kisha tumia 11900v 27500 kama target uipate kwa signal kuanzia 56% au 60. ikiwa hivyo utapata zingine zote ktk stable signal. Hakikisha lnb yako cable ipo ktk saa 9 kwa maana ya saa ya mshale. kila la heri.
 
Hizo nyengine za kwenye stable signal ni zipi?
 
ustegemee kuona epl kwa shiling 12000 kwa mwezi hiyo kitu haitowezekana na ukija kuaangalia dstv wana miaks m3 na ucl ndo maana siku hz ucl mech zinaonyeshwa 1 kwa wiki either j4 au j5 wakat zaman ucl ulikuwa unacheki fta mech zote labda hiyo offer aende kweny fa

NAJUA UWEZI ONYESHA EPL 12500 ILA KAMA WAKIPATA WANGE FANYA ATA KWA per month 45000 INGEKUWA POA
 
Back
Top Bottom