hyo ni channel inayorusha mipira ming sana kuliko channel yeyote ya fta. unaweza kuipata kwa kutumia receiver yeyote ile inayao edit biss key na uelekeo wake ni linakozama jua , unageuza dish lako la fut 6 linakozama jua , hautoi neflon ya kweny cband hapo una enjoy irib tv