Elimu na pesa bora nini?

Elimu bora zaidi, na ndo mana hata wahyi wa mwanzo kwa Mtume wetu kutoka kwa Allah ilkua ni Iqraa, yaani kusoma.

Hii ni kuonesha kwamba without elimu hata ukiwa na hela utayumba tu.
Tajiri mwenye elimu na tajiri aso elimu ni tofauti km white na black
 
Kinachoongelewa hapa ni elimu/ujuzi/maarifa, nashangaa tayari maihusisha na vyuo vikuu. Ni kweli kuna watu walizaliwa na uwezi mdogo na duni sana kiakili, hawanahitaji kupelekwa kwenye hizi clinics/vyuo ili wakarabatiwe na kuongezewa uwezo huo wa kiakili, hivyo mtazamo wa jumla kuhusu elimu kupatikana chuo.
Kwangu mimi kwa sasa kilicho bora ni kile nikikosacho... I need money
 
Kwa hii nji na elimu
ya kata mi nachagua noti mbelembele naenda shule
hakuna elimu inayoeleweka
usawa huu lol
 
Back
Top Bottom