Tanzania tuna walimu wa kufundisha Kifaransa, Kiarabu na Kichina? Walisomea wapi haya masomo?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
876
4,101
Nimeona taasusi mpya zilizotolewa na wizara ya elimu Tanzania. Naomba tusaidieni mawazo kama zinatekelezeka na zina tija kwa watoto wetu

1. Tuambieni waalimu wa lugha ya kiarabu, Kifaransa na Kichina tunao? Chuo gani cha ualimu kinafundisha haya masomo kwa ngazi ya degree? Nauliza degree kwa sababu mwalimu wa kidato cha tano lazima awe na degree.

2. Ni nani kati yetu amewahi kushirikishwa kutoa maoni kuhusu mabadiliko haya?

3. Je, wanaosoma dini watakwenda kusoma nini chuoni? Wataenda vyuo gani hapa nchni?

4. Dunia inakimbilia kwenye TEHAMA, kwanini mfumo huu umejikita zaidi nje ya TEHAMA?

5. Ni nchi gani Duniani ina Tahsusi za aina hii tulipokwenda kujifunza au tunarudia aliyoifanyia hii nchi Mungai wakati anapanga kuua elimu yetu huku elimu ya Kenya ikiwa inapanda?

6. Waalimu wa kufundisha dini tuliwaandaa katika vyuo gani?

Kwamba hizi tahasusi zimeridhiwa au zimeletwa kwa ajili ya maoni? Nchi ya viwanda, biashara na kilimo kweli itatoboa kwa mfumo wa elimu ambao hauungani kati ya primary, secondary na chuo?
 
Pale udsm wanafundisha degree hiyo ya kifaransa, na ipo katika department of foreign languages and linguistics.
UDOM Kuna Bachelor of Arts in french.

Zanzibar sasa, ndio wengi wanaenda Kumamoto degree hizo za kifaransa, kichina na kiarabu pale state university of Zanzibar kwenye school of Kiswahili and foreign language, alafu baadae wanakuja kujinoa, pale udsm Taasisi ya Confucius sijui ile inaitwa, mtanirekebisha au mabepari tunaenda alliance francaise.

Jamaa hata vitu vidogo hivi huvifahamu. Mbona vyuo vingi sana. Tena degree zilizonyooka na watu kibao wapo nje ya nchi huko. Yani kuna watu wapo china ni watanzania na wanafundisha kichina au kingereza
 
Nimeona taasusi mpya zilizotolewa na wizara ya elimu Tanzania. Naomba tusaidieni mawazo kama zinatekelezeka na zina tija kwa watoto wetu

1. Tuambieni waalimu wa lugha ya kiarabu, Kifaransa na Kichina tunao? Chuo gani cha ualimu kinafundisha haya masomo kwa ngazi ya degree? Nauliza degree kwa sababu mwalimu wa kidato cha tano lazima awe na degree.

2. Ni nani kati yetu amewahi kushirikishwa kutoa maoni kuhusu mabadiliko haya?

3. Je, wanaosoma dini watakwenda kusoma nini chuoni? Wataenda vyuo gani hapa nchni?

4. Dunia inakimbilia kwenye TEHAMA, kwanini mfumo huu umejikita zaidi nje ya TEHAMA?

5. Ni nchi gani Duniani ina Tahsusi za aina hii tulipokwenda kujifunza au tunarudia aliyoifanyia hii nchi Mungai wakati anapanga kuua elimu yetu huku elimu ya Kenya ikiwa inapanda?

6. Waalimu wa kufundisha dini tuliwaandaa katika vyuo gani?

Kwamba hizi tahasusi zimeridhiwa au zimeletwa kwa ajili ya maoni? Nchi ya viwanda, biashara na kilimo kweli itatoboa kwa mfumo wa elimu ambao hauungani kati ya primary, secondary na chuo?
Itoshe kusema kuwa hili linasikitisha sana, viongozi wameamua kwenda kinyume na mwelekeo sahihi.
 
Yaani kiufupi boss umetoa story ya kijiweni umeleta huku. Umeuliza maswali yanayo Julikana hata na mdogo wako aliyesoma
 
Tunapalilia ukoloni kwa mikono yetu wenyewe na sishangai kwa mtindo huu siku moja tukateua Waziri wa Kilimo kutoka Ufaransa na Waziri wa ujenzi kutoka China. It's a matter of time.

Hivi kweli inaingia akilini umwambie mtu akasome kichina, kiarabu au kifaransa halafu akajiajiri kwenye kilimo? Au Ufugaji! Au viwandani! Kweli!
Kwenye Wizara ambayo Waziri wake na Katibu mkuu wote Maprofessor na bado wanaleta uchafu wa namna hii! Tumelogwa na nani?
Ni lini tutatofautisha siasa na taaluma? Tujitathmini
 
Dunia ya sasa ni ya teckinolojia kunasoftware nyingi zinazotafsiri Lungha, na ikumbukwe lungha sio UJUZI, Ata mfaransa akija Tanzania ata hitaji IT,Food, Acc na wajuzi wengine. Tuna ndugu wengi wamesoma lungha hizo wapo hawazalishi na hawaajiriki zaidi parttime za ukarimani . Tungeanzisha tahasusi za ujuzi Wizara ya Kilimo na Ofisi ya Waziri Mkuu kila mwaka inapanga bajeti kusoma kilimo (BBT) na Ufundi Veta. Nadhani Combination zingeegemea kutoa ujuzi hii. Hiyo miaka miwili ya form 5 na 6 bora hao vijana tuwapele wakasome bure fani za kupaka rangi,ushonaji ,kufuga nyuki, kuchomerea,ujenzi,kilimo,kutengeneza simu ,kutengeneza pikipiki na Magari. Ingesaidia kujiajiri baada ya kuhitimu masomo yao.
 
Nimeona taasusi mpya zilizotolewa na wizara ya elimu Tanzania. Naomba tusaidieni mawazo kama zinatekelezeka na zina tija kwa watoto wetu

1. Tuambieni waalimu wa lugha ya kiarabu, Kifaransa na Kichina tunao? Chuo gani cha ualimu kinafundisha haya masomo kwa ngazi ya degree? Nauliza degree kwa sababu mwalimu wa kidato cha tano lazima awe na degree.

2. Ni nani kati yetu amewahi kushirikishwa kutoa maoni kuhusu mabadiliko haya?

3. Je, wanaosoma dini watakwenda kusoma nini chuoni? Wataenda vyuo gani hapa nchni?

4. Dunia inakimbilia kwenye TEHAMA, kwanini mfumo huu umejikita zaidi nje ya TEHAMA?

5. Ni nchi gani Duniani ina Tahsusi za aina hii tulipokwenda kujifunza au tunarudia aliyoifanyia hii nchi Mungai wakati anapanga kuua elimu yetu huku elimu ya Kenya ikiwa inapanda?

6. Waalimu wa kufundisha dini tuliwaandaa katika vyuo gani?

Kwamba hizi tahasusi zimeridhiwa au zimeletwa kwa ajili ya maoni? Nchi ya viwanda, biashara na kilimo kweli itatoboa kwa mfumo wa elimu ambao hauungani kati ya primary, secondary na chuo?

Wapo wengi sana, basi tu umejifungia ndani, kuna wa Tanzania wenye taaluma ya kufundisha wanabeba mabox kila nchi, mpaka Yemen wapo.
 
Back
Top Bottom