Ukiota ndugu yako amekufa usikurupe kufanya chochote bila kumshirikisha Mungu wako kwanza. Sababu hizi hapa chini👇👇👇

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,118
27,122
Nianze kwanza kwa ku kutoa wenge. Ndoto moja inaweza kuwa na tafsiri zaidi ya elfu moja. Lakini watu wanao jiita watumishi wa leo wanakuwaga na tafsiri moja tu ya kila ndoto ambayo huwakaririsha waumini wao.

Kwa mfano ukiota umerudi utotoni basi tafsiri yao huwaga ni moja tu : kuna mtu anakurudisha nyuma kimaendeleo..

Wakati ndoto hii inaweza kuwa na maana tofauti kabisa kulingana na umeiota ndoto hii ukiwa unapitia katika nyakati zipi. Kwa mfano unapitia kwenye vita Kali eidha ya kiroho au ya kimwili au both na mtu ambae wewe una amini ana nguvu kubwa ( za kiroho au za mwilini au both) kushinda wewe. Na ukawa unatishwa na kuogopeshwa na hali ya kuwa katika vita na mtu mwenye nguvu kushinda wewe au mwenye mamlaka makubwa kushinda wewe. Then usiku ukaota umerudi utotoni. Basi tafsiri yake ni kwamba nyuma yako kuna nguvu kubwa zaidi yako ambayo inakusaidia kupigana vita hiyo so usiogope kuendeleza mapambano kwa sababu eidha malaika wa Mungu au roho za watakatifu mababu na mabibi zako ( nyie mnaita mizimu) wanakupigania vita yako.

Katika ulimwengu wa rohoni a child means he who with a father. So If you see yourself as a child in ur sleep it means you have a father, a spiritual father for that matter who is fighting on your behalf...

BACK to the topic: Ukiota ndugu yako amekufa maana yake ni nini?

Watumishi wa leo watakwambia maana yake ni kwamba ndugu yako anasumbuliwa na roho za kuzimu so unatakiwa uanze kukemea hizo roho.

Je huo ndio ukweli? Na huo ndio utaratibu wake?

Jibu ni sio kweli.

Ukweli ni nini? Ukweli ni huu hapa chini👇

1. Ukiota ndugu yako amekufa inaweza kuwa ina maanisha kwamba ni kweli ndugu yako tayari amekwisha kufa katika ulimwengu wa roho. Siku zake za kuishi hapa duniani zimekwisha kamilika na punde mwili wake uta staafu kuishi.

Kwanini umeota ndoto hiyo wewe?

Kwa sababu malaika wa Mungu ama watakatifu mabibi na mababu zako wamedetect kwamba wewe ni mtu unae mpenda sana ndugu yako huyo na kwamba taarifa za kifo chake zitakuumiza kupita maelezo kiasi cha hata kukuletea madhara kwenye afya yako au kutishia uhai wako kabisa.

Therefore wanakupa taarifa hiyo ya awali ili kukuandaa kisaikolojia kuhusu tukio litakalo kuja kutokea muda si mrefu.

Utaota ndoto nyevu( lucid dream) with a very clear message and real energy kwamba ndugu yako amekufa..

Ndoto itakuja mara ya pili na mara ya tatu some time hata mara ya nne.

Na wakati mwingine utaota ndoto ambayo ndani yake utakuwa katika reality kwamba huyo ndugu yako alishakufaga muda mrefu. Yani kwa mfano kama sasa hivi unajua Tupac alishakufa, sasa uote ndoto na hiyo ndoto iwe inahusu jambo jingine kabisa lakini ndani yake azungumziwe huyu ndugu yako kama mtu ambae alisha kufa zamani na kuwe na hiyo energy.

Maana yake hata katika ndoto hiyo hakutakuwa na mshituko wa msiba kwa sababu tayari ndugu yako alisha kufa zamani ( kwa mujibu wa ndoto hiyo/ ina kuja kama ambavyo unaweza kumuota ndugu yako ambae ameshafariki)

Then ndugu yako aje kufariki kweli.. Believe me hautokuwa na mshituko mkubwa kuhusu msiba wa ndugu yako huyo kama angekufa bila wewe kuoteshwa kwa sababu taarifa ya msiba wake inakuwa imekuja kama taarifa namba 2.

Hao malaika na watakatifu mabibi na mababu zako wamejuaje kama tayari ndugu yako amesha kufa?

Mambo huanzia rohoni kwanza kabla ya kutokea mwilini.. Ni kama wale wa kwenye redio goli, aliepo uwanjani anaanza kuona goli kabla ya wewe unae tazama kwenye television.

2. TAFSIRI HII WENGI WENU HAMUIJUI NA NDIO SABABU HASA YA UZI HUU.

Kumuota ndugu yako amekufa inaweza kuwa na tafsiri kwamba NDUGU YAKO AMEKUWA MSHIRIKINA WA VIWANGO VYA JUU/ AMEJIUNGA AMA KUUNGANISHWA KWENYE MADHABAHU YA KISHIRIKINA AMBAYO IPO VERY ACTIVE NA INA NGUVU KUBWA SANA ZA KICHAWI...

Kwenye madhabahu kubwa za kichawi kila mwana MADHABAHU hiyo huwaga ni lazima afanyiwe zindiko lijulikanalo kama zindiko la kaburi. Zindiko la kaburi ni zindiko linalo fanywa kwa mtu kwa sababu kuu mbili kama ifuatavyo:👇

1. Kuwatisha adui zake/ washindani wake.

2. ( ambayo ndio mada yetu ya leo) : Kumkinga mhusika na uchawi wa aina yoyote ile more especially uchawi wa kumuua.

Hapa nafsi ya mhusika huzikwa kaburini katika ulimwengu wa roho kwa kufuata taratibu zote zinazo fanyika kwenye ulozi wa kumuua mtu kichawi, kama vile kugawana nguo zake ( kurithi) na nakadhalika. Mtu huyu anakuwa anahesabika amekufa kabisa katika ulimwengu wa roho kwa sababu nafsi yake inakuwa imezikwa. Na yeye mwenyewe anakuwa hana nafsi ndio maana anaweza kuwa tayari kuwatoa kafara hata watoto wake na ukoo wake mzima kwa sababu anakuwa tayari amekwisha kufa na hana nafsi..

Ukienda kumroga mtu huyu utaambiwa kwamba amesha kufa hayupo duniani.

KWANINI NDOTO HIYO UMEIOTA WEWE?

Kwa sababu wakuu wa madhabahu anayo itumikia ndugu yako wamegundua kwamba katika familia yenu au katika ukoo wenu wewe ndio mtu pekee mwenye mamlaka au nguvu za kiroho za kumzuia huyo ndugu yako asitimize nia yake ya kuwatoa kafara wana ukoo pindi atakapo takiwa kufanya hivyo. So wanaleta uadui baina yako na ndugu yako huyo uadui utakao pelekea ndugu yako kufanya maamuzi ya ku kutoa duniani eidha kwa kutumia uchawi au njia ya kawaida ( ujambazi/ umafia/ kulishwa sumu nakadhalika)

HOW?

Kwa zaidi ya mara moja utamuota ndugu yako amekufa.

Ndoto itakuwa very lucid kiasi cha kukufanya uamini kwamba ndugu yako atakufa kweli.

Mwanzoni utaogopa kumwambia kwamba umeota amekufa kwa sababu una dhani ata panic na wewe hutaki a panic so utakuwa una "vunja" hiyo ndoto kimya kimya.

Ndoto itaendelea kukujia. Uzalendo utakushinda utaenda kumwambia ndugu yako.

" Aisee nimekuota umekufa zaidi ya mara moja hivyo ama tuombe kama ni mkristu au tufanye dua kama ni muislamu " .

Jamaa atajibaraguza hapo kisha ataenda kwa mkuu wa kilinge( madhabahu yake na kumpa taarifa yako)

Kumbuka huko kilingeni jamaa walimwambia wanamfanyia zindiko la kaburi na kwamba kila atakae enda kumroga ataambiwa huyu tayari amekufa.

So ndugu yako akisha peleka taarifa hiyo ataambiwa

" Unaona? Huyo ndugu yako ( ambae ni wewe ) huwaga ana kuroga. Safari hii alienda kukuroga akaambiwa umekufa ndio maana amekuja kujibaraguza kwako. Anapokwambia sijui msali/mswali ni unafiki ametumwa awe karibu na wewe ili akupake au kukupulizia vitu aharibu zindiko lako ili aendelee kukuroga vizuri.
Kwa hiyo ataambiwa kwamba ili yeye aweze kuendelea kusimama ni lazima wewe ufe tena haraka sana kwa namna yoyote ile iwe ni kwa uchawi au ujambazi.Atakatazwa pia kuwasiliana na wewe.

Watu wengi wameuwawa kwa sababu hii.

Sikatai kwamba, kumuota ndugu yako akiwa amekufa inawezekana ikawa nduguyo yupo kwenye vita eidha na wachawi ama na watu wa kawaida ambao wanapanga kumuua na mipango yao itafanikiwa so unatakiwa eidha ufanye dua au maombi ya kubatilisha au umstue akimbie kwa sababu inawezekana akawa labda anatembea na mke wa mtu au ni mwizi etc.

Lakini unapo ota ndugu yako amekufa usikurupuke kwenda kumwambia..Muombe kwanza Mungu muulize akuelekeze kitu gani cha kufanya au iulize sauti ya ndani yako itakupa majibu.

Moderator naomba Uzi huu usiunganishwe na Uzi mwingine
 
Na yeye mwenyewe anakuwa hana nafsi ndio maana anaweza kuwa tayari kuwatoa kafara hata watoto wake na ukoo wake mzima kwa sababu anakuwa tayari amekwisha kufa na hana nafsi..
Kuna viumbe wana roho mbaya hatariii sana mpaka unajiuliza yule mwamba hana huruma ya ubinaadamu?. Kumbe mwana maiti inayo tembea🤣🤣
 
Naomba unipe elimu japo kwa uchache juu ya kifo cha kiroho na kifo cha kimwili na uhusiano baina yao. Asante.
 
Nianze kwanza kwa ku kutoa wenge. Ndoto moja inaweza kuwa na tafsiri zaidi ya elfu moja. Lakini watu wanao jiita watumishi wa leo wanakuwaga na tafsiri moja tu ya kila ndoto ambayo huwakaririsha waumini wao.

Kwa mfano ukiota umerudi utotoni basi tafsiri yao huwaga ni moja tu : kuna mtu anakurudisha nyuma kimaendeleo..

Wakati ndoto hii inaweza kuwa na maana tofauti kabisa kulingana na umeiota ndoto hii ukiwa unapitia katika nyakati zipi. Kwa mfano unapitia kwenye vita Kali eidha ya kiroho au ya kimwili au both na mtu ambae wewe una amini ana nguvu kubwa ( za kiroho au za mwilini au both) kushinda wewe. Na ukawa unatishwa na kuogopeshwa na hali ya kuwa katika vita na mtu mwenye nguvu kushinda wewe au mwenye mamlaka makubwa kushinda wewe. Then usiku ukaota umerudi utotoni. Basi tafsiri yake ni kwamba nyuma yako kuna nguvu kubwa zaidi yako ambayo inakusaidia kupigana vita hiyo so usiogope kuendeleza mapambano kwa sababu eidha malaika wa Mungu au roho za watakatifu mababu na mabibi zako ( nyie mnaita mizimu) wanakupigania vita yako.

Katika ulimwengu wa rohoni a child means he who with a father. So If you see yourself as a child in ur sleep it means you have a father, a spiritual father for that matter who is fighting on your behalf...

BACK to the topic: Ukiota ndugu yako amekufa maana yake ni nini?

Watumishi wa leo watakwambia maana yake ni kwamba ndugu yako anasumbuliwa na roho za kuzimu so unatakiwa uanze kukemea hizo roho.

Je huo ndio ukweli? Na huo ndio utaratibu wake?

Jibu ni sio kweli.

Ukweli ni nini? Ukweli ni huu hapa chini

1. Ukiota ndugu yako amekufa inaweza kuwa ina maanisha kwamba ni kweli ndugu yako tayari amekwisha kufa katika ulimwengu wa roho. Siku zake za kuishi hapa duniani zimekwisha kamilika na punde mwili wake uta staafu kuishi.

Kwanini umeota ndoto hiyo wewe?

Kwa sababu malaika wa Mungu ama watakatifu mabibi na mababu zako wamedetect kwamba wewe ni mtu unae mpenda sana ndugu yako huyo na kwamba taarifa za kifo chake zitakuumiza kupita maelezo kiasi cha hata kukuletea madhara kwenye afya yako au kutishia uhai wako kabisa.

Therefore wanakupa taarifa hiyo ya awali ili kukuandaa kisaikolojia kuhusu tukio litakalo kuja kutokea muda si mrefu.

Utaota ndoto nyevu( lucid dream) with a very clear message and real energy kwamba ndugu yako amekufa..

Ndoto itakuja mara ya pili na mara ya tatu some time hata mara ya nne.

Na wakati mwingine utaota ndoto ambayo ndani yake utakuwa katika reality kwamba huyo ndugu yako alishakufaga muda mrefu. Yani kwa mfano kama sasa hivi unajua Tupac alishakufa, sasa uote ndoto na hiyo ndoto iwe inahusu jambo jingine kabisa lakini ndani yake azungumziwe huyu ndugu yako kama mtu ambae alisha kufa zamani na kuwe na hiyo energy.

Maana yake hata katika ndoto hiyo hakutakuwa na mshituko wa msiba kwa sababu tayari ndugu yako alisha kufa zamani ( kwa mujibu wa ndoto hiyo/ ina kuja kama ambavyo unaweza kumuota ndugu yako ambae ameshafariki)

Then ndugu yako aje kufariki kweli.. Believe me hautokuwa na mshituko mkubwa kuhusu msiba wa ndugu yako huyo kama angekufa bila wewe kuoteshwa kwa sababu taarifa ya msiba wake inakuwa imekuja kama taarifa namba 2.

Hao malaika na watakatifu mabibi na mababu zako wamejuaje kama tayari ndugu yako amesha kufa?

Mambo huanzia rohoni kwanza kabla ya kutokea mwilini.. Ni kama wale wa kwenye redio goli, aliepo uwanjani anaanza kuona goli kabla ya wewe unae tazama kwenye television.

2. TAFSIRI HII WENGI WENU HAMUIJUI NA NDIO SABABU HASA YA UZI HUU.

Kumuota ndugu yako amekufa inaweza kuwa na tafsiri kwamba NDUGU YAKO AMEKUWA MSHIRIKINA WA VIWANGO VYA JUU/ AMEJIUNGA AMA KUUNGANISHWA KWENYE MADHABAHU YA KISHIRIKINA AMBAYO IPO VERY ACTIVE NA INA NGUVU KUBWA SANA ZA KICHAWI...

Kwenye madhabahu kubwa za kichawi kila mwana MADHABAHU hiyo huwaga ni lazima afanyiwe zindiko lijulikanalo kama zindiko la kaburi. Zindiko la kaburi ni zindiko linalo fanywa kwa mtu kwa sababu kuu mbili kama ifuatavyo:

1. Kuwatisha adui zake/ washindani wake.

2. ( ambayo ndio mada yetu ya leo) : Kumkinga mhusika na uchawi wa aina yoyote ile more especially uchawi wa kumuua.

Hapa nafsi ya mhusika huzikwa kaburini katika ulimwengu wa roho kwa kufuata taratibu zote zinazo fanyika kwenye ulozi wa kumuua mtu kichawi, kama vile kugawana nguo zake ( kurithi) na nakadhalika. Mtu huyu anakuwa anahesabika amekufa kabisa katika ulimwengu wa roho kwa sababu nafsi yake inakuwa imezikwa. Na yeye mwenyewe anakuwa hana nafsi ndio maana anaweza kuwa tayari kuwatoa kafara hata watoto wake na ukoo wake mzima kwa sababu anakuwa tayari amekwisha kufa na hana nafsi..

Ukienda kumroga mtu huyu utaambiwa kwamba amesha kufa hayupo duniani.

KWANINI NDOTO HIYO UMEIOTA WEWE?

Kwa sababu wakuu wa madhabahu anayo itumikia ndugu yako wamegundua kwamba katika familia yenu au katika ukoo wenu wewe ndio mtu pekee mwenye mamlaka au nguvu za kiroho za kumzuia huyo ndugu yako asitimize nia yake ya kuwatoa kafara wana ukoo pindi atakapo takiwa kufanya hivyo. So wanaleta uadui baina yako na ndugu yako huyo uadui utakao pelekea ndugu yako kufanya maamuzi ya ku kutoa duniani eidha kwa kutumia uchawi au njia ya kawaida ( ujambazi/ umafia/ kulishwa sumu nakadhalika)

HOW?

Kwa zaidi ya mara moja utamuota ndugu yako amekufa.

Ndoto itakuwa very lucid kiasi cha kukufanya uamini kwamba ndugu yako atakufa kweli.

Mwanzoni utaogopa kumwambia kwamba umeota amekufa kwa sababu una dhani ata panic na wewe hutaki a panic so utakuwa una "vunja" hiyo ndoto kimya kimya.

Ndoto itaendelea kukujia. Uzalendo utakushinda utaenda kumwambia ndugu yako.

" Aisee nimekuota umekufa zaidi ya mara moja hivyo ama tuombe kama ni mkristu au tufanye dua kama ni muislamu " .

Jamaa atajibaraguza hapo kisha ataenda kwa mkuu wa kilinge( madhabahu yake na kumpa taarifa yako)

Kumbuka huko kilingeni jamaa walimwambia wanamfanyia zindiko la kaburi na kwamba kila atakae enda kumroga ataambiwa huyu tayari amekufa.

So ndugu yako akisha peleka taarifa hiyo ataambiwa

" Unaona? Huyo ndugu yako ( ambae ni wewe ) huwaga ana kuroga. Safari hii alienda kukuroga akaambiwa umekufa ndio maana amekuja kujibaraguza kwako. Anapokwambia sijui msali/mswali ni unafiki ametumwa awe karibu na wewe ili akupake au kukupulizia vitu aharibu zindiko lako ili aendelee kukuroga vizuri.
Kwa hiyo ataambiwa kwamba ili yeye aweze kuendelea kusimama ni lazima wewe ufe tena haraka sana kwa namna yoyote ile iwe ni kwa uchawi au ujambazi.Atakatazwa pia kuwasiliana na wewe.

Watu wengi wameuwawa kwa sababu hii.

Sikatai kwamba, kumuota ndugu yako akiwa amekufa inawezekana ikawa nduguyo yupo kwenye vita eidha na wachawi ama na watu wa kawaida ambao wanapanga kumuua na mipango yao itafanikiwa so unatakiwa eidha ufanye dua au maombi ya kubatilisha au umstue akimbie kwa sababu inawezekana akawa labda anatembea na mke wa mtu au ni mwizi etc.

Lakini unapo ota ndugu yako amekufa usikurupuke kwenda kumwambia..Muombe kwanza Mungu muulize akuelekeze kitu gani cha kufanya au iulize sauti ya ndani yako itakupa majibu.

Moderator naomba Uzi huu usiunganishwe na Uzi mwingine
Ramli chonganishi.
 
Ndoto ni scams mbona kila siku tunaota tunaokota hela lakini hatuwi matajiri kwa nn tunawazia mabaya tu ndio yatatukea kweli yaani mimi niote nachezea Manchester city wakati hata Tanzania sichezi mpira na sina team kuna watu wanajua kukamatana masikio.
 
Shauri yako
 
Mfano mtu Alisha fariki miaka zaidi ya 20 ilo pita,Kisha ukaota kua huyo mtu amefariki je hapo inakuaje?
 
Back
Top Bottom