Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,338
- 201,591
Hapana hajakusema walaMie sijui ku decode,vipi kanisema?
Ila napitiaga sana bandiko zake
Hapana hajakusema walaMie sijui ku decode,vipi kanisema?
Asa mnaosema Elimu sio kuajiriwa mbona mmewaacha wasomi wengine Kwenye benchi ?? Unamfundisha mtu course chuo Ili aje Kukaa kwenye benchi? Something is wrong somewhere.... embu tufikirie deep...
Nimekuelewa sana kirangaDada yangu Rebeca 83 asante kwa mada nzuri sana hii.
Kwanza elimu unayoelekea kujikita nayo ni elimu rasmi, hili si jambo baya, elimu rasmi imewekewa viwango na mifumo ya kupima vitu.
Lakini elimu ni pana kuliko elimu rasmi.
Ndiyo maana unaweza kuwa na Ph.D yako ya geology, ukaenda misitu ya Congo kufanya uchunguzi wa sehemu za kuchimba madini ya coltran yanayotumika kutengeneza sehemu za simu za mkononi, ukaumwa na nyoka wakali wa misitu ya Congo, halafu wenyeji wa hapo wenye elimu ya asili ya kukabiliana na mazingira yao wakajua tiba, wakaweka kijiwe fulani sehemu uliyoumwa na nyoka, kijiwe kile kikanyonya sumu yote na kukunusuru maisha yako ("Sara's Notebook" anyone?).
Binafsi, naamini sana katika kujisomea mwenyewe nje ya mitaala ya elimu rasmi.
Na tabia hii imenifanya niweze kujua mbivu na mbichi sehemu nyingi, na kila mtu anapotaka kunidanganya kwa uongo mdogo mdogo, naweza kutambua na kukataa habari hizo.
Nitaongea mambo kiujumla zaidi (kwa mfano siwezi kukutajia jinsi elimu ilivyoweza kunifanya niweze kujaza hela benki za Uswizi, joking)
Ukisoma mambo kama logic, computer programming na falsafa, unaweza kuangalia maisha kama a set of propositions, a sort of branching tree, hata maamuzi ya nisome nini, nifanye kazi gani, niishi wapi, nimuoe nani, nichukue risk gani, nisaidie kipi, nijiendeleze wapi etc ni maswali ambayo yanahitaji elimu.
Pia, elimu imenisaida kuweza kufanya utabiri mzuri wa mambo yanayokuja kwa kuangalia yaliyopita na yaliyopo. Ni vigumu kutabiri yanayokuja kama huna elimu inayotakiwa kuweza kuunganisha mambo. Ndiyo maana mtu anaweza kufanya kitu leo kikaonekana cha kijinga (kanunua kiwanja kikubwa Gezaulole shamba huko mwaka 1990, kule atakuja kukaa nani mbona porini?) kumbe baada ya miaka 25 panakuwa mjini na viwanja vinapanda bei sana.
Elimu ya kweli pia inasaidia mtu kuwa mtu bora zaidi. Kuona maana ya kusaidia wengine hata bila ya kujali zawadi ya mbingu wala kuogopa moto (kwa watu tusioamini kuwepo kwa Mungu kama sisi). Mtu unaishi bila woga, lakini kinyume na mategemeo ya wengi kwamba usipoamini Mungu utakuwa valuvalu, elimu yako ya kuweza kuishi na watu, usomi wa dini mbalimbali na jitihada za kufanya mema kwa sababu unapenda kufanya mema tu, zinakufanya uishi vizuri na watu.
Elimu inakupa confidence ya kuwa comfortable katika mazingira tofauti. Miaka kama 15 iliyopita nilialikwa na Warusi fulani kufanya interview World Trade Center. Warusi wana mkwanja sana, walikuwa wanatafuta mtu wa kuangalia systems zao. Nilivyofika chumba cha interview nilikuwa nimekamilisha kuwa na majibu ya maswali ya kazi niliyokuwa naitaka. Nikawekwa chumba cha interview, nilikuwa free vibaya sana, ikatokea mwanzo wa interview tu sijui kukawa na nini nikaongea habari za Stephen Hawking na theoretical physics, basi yule Mrusi interviewer akawa kama kasahau kabisa maswali ya interview ya ile kazi, akawa so interested kujua ninajua nini kuhusu theoretical physics. Badaye, nikaja kugundua kwamba yule Mrusi anatoka katika utamaduni ambao unathamini sana watu wanaoweza kujua mambo kama theoretical physics, watu hawa wanatukuzwa sana kwao kama ma genius (partly due to the Cold War/arms race), kwa hiyo kwake, mtu anayeweza kujielezea kwa kupitia habari za theoretical physics confidently ana uelewa mpana sana na hiyo kazi aliyotaka kunipa nitaielewa kirahisi tu.
Mfano mwingine elimu inakupa confidence katika awkward situation ulinitokea high school. Mwalimu wetu mmoja wa General Studies aliingia darasani wiki fulani na kutoa assignment watu wakae makundi, ya watu watatu mpaka watano, waandae presentation, halafu kipindi kinachofuata, kila kikundi kimtaje mtu mmoja aende mbele ya darasa na kufanya presentation. Alisema hajali topic, anataka kuona public speaking and presentation skills.
Basi, kama kawaida yetu wahuni tunadharau General Studies. Mimi na genge langu hatukuwepo darasani siku hiyo. Na kibaya zaidi, tulivyorudi kutoka mizunguko yetu, hata hatukuulizia wenzetu wamefundishwa nini.
Basi kipindi kilichofuata, mwalimu kaja darasani. Anauliza "Mshajiandaa? Nataka muanze kuja mbele hapa mtoe presentations zenu". Kila mtu anakaa na kikundi chake, wanaanza kwenda mbele. Mimi na wahuni wangu tunang'aa macho, tunauliza, nini kinaendelea hapa?
Basi wakaanza kutoa presentations mara za Geography, mara za Economics, mara za Statistics. Kila mtu akianza kusema, maswali kibao (hayo ni masomo ambayo kila mtu aliyajua sana).
Kifupi, licha ya kujiandaa kwa wiki nzima, kwa lughaya kisasa, "walipata taabu sana".
Basi ikawa watu wa mwisho ni mimi na wahuni wangu wanne, ambao tuliform a natural group ya watu wasio na group.
Jamaa wakasema wewe Kiranga lazima uende kutuwakilisha. Mimi nikapinga, wakaniambia usipoteze muda, jambo hili halina mjadala. Wewe ndiye msemaji sana, huishi stories, wewe ndiye unajua maneno ya ajabu ya Kiingereza, wewe ndiye mtu unayeweza ku perform in front of a crowd, nenda tu.
Sasa mimi najiuliza, niende nitasema nini? Sijajiandaa kwa lolote. Basi ikawa kama inataka kutokea scene pale, watu wanatuangalia. Sasa kaka yako unajua sipendi kutegeana, sipendi scene, sehemu yoyote yenye kutegeana nataka kumaliza mjadala. Nikainuka.
Naanza kuinuka kwenye desk, sijui nitaongea nini.
Napiga hatua kwenda mbele darasani, sijui nitaongea nini.
Nafika karibu na mbele darasani, sijui nitaongea nini.
Nimefika mbele darasani, sijui nitaongea nini.
Nageuka kuliangalia darasa (actually madarasa mawili yaliwekwa pamoja), naona watu wote wananiangalia mimi.
Sijui nitaongea nini.
Naanza kufungua mdomo niongee, sijui nitaongea nini.
Naanza kuongea, "Today I am going to talk ab..."
Sijui nitaongea nini.
Then I make a split second decision "about cosmogony".
Then I hear the entirety of the two classes going like "huuuh" ? "Cosmology?" "Cosmetics?"
Nikasema "Cosmogony is the science of the beginning of the universe".
Nikawapelekesha kwenye singularity, nikawapelekesha kwenye inflation, Alan Guth's papers, formation of lower atoms, stars and nuclear processes to forge higher atoms, the arrow of time and the second law of thermodynamics, nikaelezea mambo mengi niliyokuwa nasoma wakatihuo USIS library Peugeot House. Nikaongea sana habari za "A Brief History of Time:From The Big Bang To Black Holes".
Mpaka namaliza, hakuna swali hata moja.
Mwalimu wa General Studies akasema "Kwakweli hata mimi sina swali, kwa sababu hizi habari zote ndiyo kwanza nazisikia leo".
Nikaona hapa kujisomea kumeniepusha na aibu ya kwamba nilikuwa sijajitayarisha kwa presentation hii.
Kuanzia siku hiyo watu walipenda sana nifanye presentations na nikafanya mbili zaidi, moja ya kuhusu the effects of ChloroFluoroCarbons on depleting the ozone layer and global warming, na nyingine ni kuhusu antibiotics zinavyoleta tatizo la drug resistance kwa bacteria.
Mifano ya jinsi gani elimu inasaidia ni mingi sana. Katika maisha yangu ya kila siku ninaweza kuzungumza na mtu kidogo tu, mtu akapata kuona mvuto wa kipekee kutokana na upana wa mawazo.
Kuhitimisha niseme,elimu inasaidia kupanuamawazo na kumuweeksha mtu kupambana na mazingira yake katika hali tofauti, ndiyo maana hata kama hakuna ajira, kupata elimu kunaweza kumsaidia mtu kujiajiri.
Nani kakwambia m2 mwenye elimu ya darasa la saba hana fani yoyote???... Ndo maana ikaitwa msingi Bila huo msingi mwenye PhD asingepata hiyo PhD yake .. Matajiri wengi hapa bongo wana Elimu ya darasa la 7... Kwahyo ukisema mtu wa darasa la saba hana fani unajidanganya
Umeeleweka.Asante Sana kaka mkubwa... naona umefunguka haswaa ..ni vizuri mkuu kutuelimisha wengine ....Hilo la confidence nimekupata sawia..kufanya presentation Becky ujanja wote kwishney LOL....Ila nimegundua sio peke yangu LOL........ nimegundua sehemu nyingine mfumo Wao wa elimu unawa encourages watoto kujisomea , kuongea mbele ya darasa wakiwa wadogo, hivyo ni skills anakua nayo...by the time Yuko Chuo ni mtu anajiamini ....Leo wameweka presentation kwa course nyingi za chuo ,watu wanastruggle sababu ni vitu vigeni kwao! Wangekua wanafundisha kuanzia secondary....ingewajengea watu confidence taratibu
tuna culture ya kukariri pia, Enzi zile unakuta essay darasa zima limeandika vitu hivyo hivyo LOL na mwalimu anatick siku zinakwenda...... inabidi huo mfumo huu wa elimu ...ubadilike watu wademonstrate ujuzi wao na kuleta vitu vipya Dunia hii....
Binafsi,siamini umfundishe vitu complex mtu kwa miaka mitatu tu atoke hapo atoke amepikika unless Huyo mtu seriously asome vitabu .... Jambo ambalo hata mtu wa darasa la Saba anaweza kufanya hivyo,,,,
Nimeona mahali pia,watu kwa kuwa wamesoma vitabu kuanzia watoto by the time amemaliza form six ana knowledge kubwa kushinda mtu aliyeenda chuo....
Sijui km nimeeleweka lol
Mangi lemule;
Hujanikosea hadi uniombe msamaha mkuu
Kiukweli kabisa kwa kozi niliyosoma mm haijwahi kuniingizia hata laki. Nimejikita zaidi kutumia ujuzi mwingine kabisa ambao nimezaliwa nao na kusoma soma vitabu tu.
Kwa kiwango kidogo. Yaani ile kufanya kitu kisoma kisomiOK, Mkuu
Lakini ukifanyacho kwa sasa, darasa ulilokwenda miaka 16 au na zaid ya hapo, alijafanya chochote ?
Funguka zaidi.Mkuu hongera lakini kuna kitu nakiona cha ziada hapo. Kuna utafauti wa mazingira ya jinsi anavyoipata elimu.
Ni kwel pasipo shaka weng wa Graduates wa Tanzania wapo bench
Hapo ndo uhitaji na umuhimu wa mtaala unaoendana na mazingira halisi ya Tanzania unapoonekana
Kazi kubwa inahitajika kufanyika kubadilisha mindset ya walioko mashuleni na wahitimu kuwa shule zipo Kwa ajili ya maarifa na ujuzi na si vinginevo.
Umeeleweka.
Kwenye utamaduni wa kukariri na kulazimisha kukubaliana hapo kuna tabu sana.
One more story and then I am done for the day.
Nilipoanza chuo mwaka wa kwanza nilikuwa na kozi moja ya falsafa, elective.
Professor mzungu conservative anatoka upstate New York. Supporter wa George Bush. Republican. Judge. Mimi liberal, immigrant fresh off the plane from Bongo.
Darasa la introductory level philosophy, Western Philosophy, mainly pre-Socratic philosophy.
Basi nikataka kulianzisha siku ya kwanza kwa nini hawajaweka falsafa za sehemu nyingine. Lakini nikajirudi. Ukiwa mbishi kanuni ya kwanza ni kuusoma mchezo kabla ya kubisha.
Basi kutoka hapo, nikawa nabishana sana na Professor. Kila darasa ni ubishi. Halafu ubishi wa logic, arguments zangu Professor anazifahamu. Sibishi vitu ambavyo sijavisoma. Nabisha kwa kutumia hoja za wasomibwa falsafa ambazo hata Professor anazijua. Kwa hiyo nikibisha kwa point hii, Professor anajua hapo Locke, hapo John Stuart Mill, hapo Nietzche, hapo Aquinas, etc. Kuna wakati nikawa na dominate darasa mpaka nikaona imepita kiasi. Hususan topic za uwepo wa Mungu. Mpaka dada mmoja akaniuliza, vile unavyobisha unaamini kabisa au unafanya uzushi tu? Nikamwambia naamini hivyo.
Nikasema huyu Profesa atakuja kunifelisha. Kwa sababu nabishana naye sana, mtu mwingine anaweza kuona namvunjia heshima.
To cut a long story short, mwisho wa semester, professor aliniandikia email anasema usije kwenye mtihani wa mwisho wa semester. Nikaona tayari, Professor kashanifelisha kwa sababu ya ubishi wangu darasani. Nikamuuliza imekuwaje tena? Akaniambua hili darasa umeshapasi, umelionea sana. Zile arguments zako za darasani ni za graduate school level. Ni arguments za darasa la masters la falsafa. Hili darasa hata hukutakiwa kuwemo umelionea sana. Nakupa A+. Usije kwenye mtihani.
Nikasema mfumo wa elimu wa Marekani ni tofauti sana na Tanzania.
Nina hakika kama ingekuwa vyuo vyetu Profesa angenifelisha kwa kukosa nidhamu.
Wakati wenzetu Profesa anakubishia anaangalia umesoma na unaelewa nini. Akikuona unaweza kutetea arguments zako anakupitisha.
Kwa kweli yule Profesa alinitafuta sana urafiki akawa anataka niwe naenda kwenye mikutano yao ku network. Ila na mimi nikawa nina kazi zangu nyingi nikawa sina muda naye.
Kama unataka habari za kugezeana wote mseme sawa sehemu kama hiyo, hata kama una kipaji chako kiko tofauti, hakiwezi kuonekana.
Kwa kiwango kidogo. Yaani ile kufanya kitu kisoma kisomi
😀
Ni kweli mkuu ...hili jambo ni la kuliangalia pia...mie nahisi wanafundishwa vitu general na sio specific mfano madaraja yetu mvua ikinyesha yanavunjika,sababu wamefundishwa kujenga daraja but not specific kulingana na mazingira yetu ...pia Kama wangefundishwa kilingana na mazingira yetu wangekua na knowledge ya kuexplore opportunities zilizopo hivyo kujiajiri...
Hope muuza Supu kkoo anaingiza kipato kirefu per DayMtu mwenye bachelor ya business administration anauza supu kariakoo form 4 yuko nmb,oooh tanzania simama nishuke
Hivi ndivyo ninavyomaanisha. Wazazi wananafasi kubwa ktk kumfanya mtoto awe na mafanikio ya kielimu( Ku "ekseli"). Hii ilijenga dhana kuwa mtoto was mwalimu lazima afaulu tena huku kwetu uswazi walikuwa wanasema kapasishwa. Kumbe mzazi kuelimika kunatengeneza mazingira ya mtoto kuelimika zaidi.Funguka zaidi.
At a basic kevel mtoto anayekua huku anaangalia bookshelf la baba yake lina kila kitu kuanzia magazeti ya Times na Newswek, vitabu vya Charkes Dickens mpaka michoro ya architecture ya nyumba, na akawa na utashi wa kusema hapa kama sintoweza kuielewa hii michoro ya nyumba basi hata hivi vitabu vya Dickens na haya magazeti ya Newsweek na Times nisishindwe kusoma, si sawa na mtoto ambaue kwao hata umeme hamna.
Ndiyo maana nakataa simplification ya "hawa wameshindwa mitihani ni vilaza".
Inawezekana wanahitaji miwani, halafu hawajui hata kwamba wanahitaji miwani, kwa sababu kijijini kwao miwani ni anasa ya juu sana ambayo hawawezi hata kuifikiria.
Kwa uelewa wako huu sidhani kama ulipata shida kwa mitaala yetu hapa bongo.....Dada yangu Rebeca 83 asante kwa mada nzuri sana hii.
Kwanza elimu unayoelekea kujikita nayo ni elimu rasmi, hili si jambo baya, elimu rasmi imewekewa viwango na mifumo ya kupima vitu.
Lakini elimu ni pana kuliko elimu rasmi.
Ndiyo maana unaweza kuwa na Ph.D yako ya geology, ukaenda misitu ya Congo kufanya uchunguzi wa sehemu za kuchimba madini ya coltran yanayotumika kutengeneza sehemu za simu za mkononi, ukaumwa na nyoka wakali wa misitu ya Congo, halafu wenyeji wa hapo wenye elimu ya asili ya kukabiliana na mazingira yao wakajua tiba, wakaweka kijiwe fulani sehemu uliyoumwa na nyoka, kijiwe kile kikanyonya sumu yote na kukunusuru maisha yako ("Sara's Notebook" anyone?).
Binafsi, naamini sana katika kujisomea mwenyewe nje ya mitaala ya elimu rasmi.
Na tabia hii imenifanya niweze kujua mbivu na mbichi sehemu nyingi, na kila mtu anapotaka kunidanganya kwa uongo mdogo mdogo, naweza kutambua na kukataa habari hizo.
Nitaongea mambo kiujumla zaidi (kwa mfano siwezi kukutajia jinsi elimu ilivyoweza kunifanya niweze kujaza hela benki za Uswizi, joking)
Ukisoma mambo kama logic, computer programming na falsafa, unaweza kuangalia maisha kama a set of propositions, a sort of branching tree, hata maamuzi ya nisome nini, nifanye kazi gani, niishi wapi, nimuoe nani, nichukue risk gani, nisaidie kipi, nijiendeleze wapi etc ni maswali ambayo yanahitaji elimu.
Pia, elimu imenisaida kuweza kufanya utabiri mzuri wa mambo yanayokuja kwa kuangalia yaliyopita na yaliyopo. Ni vigumu kutabiri yanayokuja kama huna elimu inayotakiwa kuweza kuunganisha mambo. Ndiyo maana mtu anaweza kufanya kitu leo kikaonekana cha kijinga (kanunua kiwanja kikubwa Gezaulole shamba huko mwaka 1990, kule atakuja kukaa nani mbona porini?) kumbe baada ya miaka 25 panakuwa mjini na viwanja vinapanda bei sana.
Elimu ya kweli pia inasaidia mtu kuwa mtu bora zaidi. Kuona maana ya kusaidia wengine hata bila ya kujali zawadi ya mbingu wala kuogopa moto (kwa watu tusioamini kuwepo kwa Mungu kama sisi). Mtu unaishi bila woga, lakini kinyume na mategemeo ya wengi kwamba usipoamini Mungu utakuwa valuvalu, elimu yako ya kuweza kuishi na watu, usomi wa dini mbalimbali na jitihada za kufanya mema kwa sababu unapenda kufanya mema tu, zinakufanya uishi vizuri na watu.
Elimu inakupa confidence ya kuwa comfortable katika mazingira tofauti. Miaka kama 15 iliyopita nilialikwa na Warusi fulani kufanya interview World Trade Center. Warusi wana mkwanja sana, walikuwa wanatafuta mtu wa kuangalia systems zao. Nilivyofika chumba cha interview nilikuwa nimekamilisha kuwa na majibu ya maswali ya kazi niliyokuwa naitaka. Nikawekwa chumba cha interview, nilikuwa free vibaya sana, ikatokea mwanzo wa interview tu sijui kukawa na nini nikaongea habari za Stephen Hawking na theoretical physics, basi yule Mrusi interviewer akawa kama kasahau kabisa maswali ya interview ya ile kazi, akawa so interested kujua ninajua nini kuhusu theoretical physics. Badaye, nikaja kugundua kwamba yule Mrusi anatoka katika utamaduni ambao unathamini sana watu wanaoweza kujua mambo kama theoretical physics, watu hawa wanatukuzwa sana kwao kama ma genius (partly due to the Cold War/arms race), kwa hiyo kwake, mtu anayeweza kujielezea kwa kupitia habari za theoretical physics confidently ana uelewa mpana sana na hiyo kazi aliyotaka kunipa nitaielewa kirahisi tu.
Mfano mwingine elimu inakupa confidence katika awkward situation ulinitokea high school. Mwalimu wetu mmoja wa General Studies aliingia darasani wiki fulani na kutoa assignment watu wakae makundi, ya watu watatu mpaka watano, waandae presentation, halafu kipindi kinachofuata, kila kikundi kimtaje mtu mmoja aende mbele ya darasa na kufanya presentation. Alisema hajali topic, anataka kuona public speaking and presentation skills.
Basi, kama kawaida yetu wahuni tunadharau General Studies. Mimi na genge langu hatukuwepo darasani siku hiyo. Na kibaya zaidi, tulivyorudi kutoka mizunguko yetu, hata hatukuulizia wenzetu wamefundishwa nini.
Basi kipindi kilichofuata, mwalimu kaja darasani. Anauliza "Mshajiandaa? Nataka muanze kuja mbele hapa mtoe presentations zenu". Kila mtu anakaa na kikundi chake, wanaanza kwenda mbele. Mimi na wahuni wangu tunang'aa macho, tunauliza, nini kinaendelea hapa?
Basi wakaanza kutoa presentations mara za Geography, mara za Economics, mara za Statistics. Kila mtu akianza kusema, maswali kibao (hayo ni masomo ambayo kila mtu aliyajua sana).
Kifupi, licha ya kujiandaa kwa wiki nzima, kwa lughaya kisasa, "walipata taabu sana".
Basi ikawa watu wa mwisho ni mimi na wahuni wangu wanne, ambao tuliform a natural group ya watu wasio na group.
Jamaa wakasema wewe Kiranga lazima uende kutuwakilisha. Mimi nikapinga, wakaniambia usipoteze muda, jambo hili halina mjadala. Wewe ndiye msemaji sana, huishi stories, wewe ndiye unajua maneno ya ajabu ya Kiingereza, wewe ndiye mtu unayeweza ku perform in front of a crowd, nenda tu.
Sasa mimi najiuliza, niende nitasema nini? Sijajiandaa kwa lolote. Basi ikawa kama inataka kutokea scene pale, watu wanatuangalia. Sasa kaka yako unajua sipendi kutegeana, sipendi scene, sehemu yoyote yenye kutegeana nataka kumaliza mjadala. Nikainuka.
Naanza kuinuka kwenye desk, sijui nitaongea nini.
Napiga hatua kwenda mbele darasani, sijui nitaongea nini.
Nafika karibu na mbele darasani, sijui nitaongea nini.
Nimefika mbele darasani, sijui nitaongea nini.
Nageuka kuliangalia darasa (actually madarasa mawili yaliwekwa pamoja), naona watu wote wananiangalia mimi.
Sijui nitaongea nini.
Naanza kufungua mdomo niongee, sijui nitaongea nini.
Naanza kuongea, "Today I am going to talk ab..."
Sijui nitaongea nini.
Then I make a split second decision "about cosmogony".
Then I hear the entirety of the two classes going like "huuuh" ? "Cosmology?" "Cosmetics?"
Nikasema "Cosmogony is the science of the beginning of the universe".
Nikawapelekesha kwenye singularity, nikawapelekesha kwenye inflation, Alan Guth's papers, formation of lower atoms, stars and nuclear processes to forge higher atoms, the arrow of time and the second law of thermodynamics, nikaelezea mambo mengi niliyokuwa nasoma wakatihuo USIS library Peugeot House. Nikaongea sana habari za "A Brief History of Time:From The Big Bang To Black Holes".
Mpaka namaliza, hakuna swali hata moja.
Mwalimu wa General Studies akasema "Kwakweli hata mimi sina swali, kwa sababu hizi habari zote ndiyo kwanza nazisikia leo".
Nikaona hapa kujisomea kumeniepusha na aibu ya kwamba nilikuwa sijajitayarisha kwa presentation hii.
Kuanzia siku hiyo watu walipenda sana nifanye presentations na nikafanya mbili zaidi, moja ya kuhusu the effects of ChloroFluoroCarbons on depleting the ozone layer and global warming, na nyingine ni kuhusu antibiotics zinavyoleta tatizo la drug resistance kwa bacteria.
Mifano ya jinsi gani elimu inasaidia ni mingi sana. Katika maisha yangu ya kila siku ninaweza kuzungumza na mtu kidogo tu, mtu akapata kuona mvuto wa kipekee kutokana na upana wa mawazo.
Kuhitimisha niseme,elimu inasaidia kupanuamawazo na kumuweeksha mtu kupambana na mazingira yake katika hali tofauti, ndiyo maana hata kama hakuna ajira, kupata elimu kunaweza kumsaidia mtu kujiajiri.
Well, another day has passed and i didnt use algebra.