HHHK
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 821
- 291
Wewe ndo Shenezi, mbona unamsemea?
Samani nilikua napita tuu nikajikwaa narudia sorry
Wewe ndo Shenezi, mbona unamsemea?
Samani nilikua napita tuu nikajikwaa narudia sorry
Hapo sawa nilitaka kushangaa inakuwaje hapa, au amekuagiza ila usijali.
Yaani we acha tu
Dume kupigwa istari ni habari nyingine kabisa
Hivi Husninyo yuko wapi?
Hii kitu inamhusu kabisa maana ni mhudumu wangu kule kwenye nyumba ya kondoo wa bwana.....lol!
Natakiwa nipewe go ahead kwanza
CC: Heaven on Earth
Hebu fanya fasta maana akichelewa tu atakuta nishamaliza kila kitu....lol!
hahahaaa...... Hofu yangu tu msije mkapanda mazabahuni mkaweka najisi katika hekalu la bwana.... Ngoja nifanye fasta aisee
Mi sinilisemaga nakuzimia wewe?
Au na wewe unajidai huelewi...LOL!!!!!!!!!
Fnya fasta maana mtoto kaja mwenyewe na anahitaji huduma
Si unajua ile ya "toeni bure kwa kuwa mmepewa bure"
Sasa kwanini nimfanyie hiyana mtoto Shenazi
Fanya fasta ukichelewa nakula vitu halafu natulia!!!!!!!!!!!!!!
Na ukizingatia niko single ..........!!!!!!!!
ulikuwa hujuiUnaweza ukawa unaishi na mwanamke ndani and yet still ukawa hujui baadhi ya taaluma zake!!
Haya kwa mfano hapa, mi nilikuwa sijui kama wandani wangu snowhite ni kungwi.... mweh...
Kumbe, ndio maaana
hakuna kwenda pm!
muafaka tuujulie hapa hapa!!
heee makubwa! mie nna mumewangu! kwani hulielewi hilo? akuuuu.........usijenikorofisha na shenaz bure! mpe mtoto wa watu raha eeenh!
Hahah yaani we umeona mbali zaidi. . . LOL!!!
ave, naomba uniruhusu nikushindishe pm japo kwa saa moja besti!
chukua kwanza hii besti! halafu utabiri pm ntasema nini!Usijali besti, we njoo tu nishakuruhusu!
Naona baba paroko anataka kukuuzia kesi besti! heheh