Eiyer, Naomba nikabidhi Moyo wako.

Eiyer, Naomba nikabidhi Moyo wako.

Nimjiandae na nini tena mkuu?

ehehehehheh nimekwambia njooo huku nikwambie!
ushawahi kula karanga mbichi debe?
maziwa ya ngamia?
bhange kidogo unatumia?
unakula ugali wa dona na dagaa wa ziwa nyasa?
juice yako ina mixer ya embe,tikiti maji,fenesi,passion,maziwa ya mbuzi na asali?
ushawahi kula smoothie ya tende,halua na maziwa fresh?
huwa unalala masaa mangapi kwa siku?
urefu wako wa kiume ni nchi ngapi?
ehehheheh Kaizer:cell: njoo uendelee kumuambia huyu mnyamwezi ajiandae kwa mambo gani!
mi mengine namuhurumia!
 
Last edited by a moderator:
chukua kwanza hii besti! halafu utabiri pm ntasema nini!

1003240_616630731709524_128477417_n.jpg
I am glad to be among the few........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom