Shenazi
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 204
- 128
Last edited by a moderator:
We nawe, unapotosha mada sasa..Me sio kama kuna haja ya kutamani hayo maneno uambiwe wewe,hata we pia yupo ambaye ulisha mwambia kama unampenda .
Anachokifanya Shenazi hapa anatimiza maandiko tu kama tulivyo agizwa upendo.
Sasa basi wale mabingwa wa kuumba maneno eti kisa tu mdomo ninyumba ya maneno watapeleka hisia mbalii,
wakati yeye hajaseme ni upendo wa aina ngani alionao kwa Eiyer.
Bahati gani hii..!
I wish ingenidondokea miye, lakini ndio hivo tena bahati ya mwnzio usiilalie mlango wazi......
We nawe, unapotosha mada sasa..
Kwani hujui upendo wa siku hizi ni wa kumegana tu...
Huo unaoudhania ulishazikwa kitamboooooo............... Kalagabaho
WAbada HASI.......!!!!