Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,981
Na wewe nigongee Like moyo wangu usuuzike.....
Na wewe nigongee Like moyo wangu usuuzike.....
Ngoja basi niongeze juhudi zijae walau maana ndio kigezo kikubwa zaidi si za kubip
Washahamia PM
hizi bahati nyingine hizi sijui wengine zitatupata lini..
ha ha mwenzio nikizimika nazimikia jumla utanikimbia nakwambia lol
Ndio wapi huko?
kule ndani, maana umekuwa kimya kweli wakati watu waanausongo wa majibu yako. Hahahaha
Jana nilikuwa nimeenda kukumbushia kuogelea mtoni
Mchina wangu nilimuacha nyumbani
Kwani wewe ulitaka nimjibuje?
Maana hii makitu kwangu ni ngeni kabisa,sijawahi kupigwa "vesi"
Au nimwambie anipe muda nijifikirie?......LOL!
Halafu nachora chini kwa kidole gumba cha mguu....lol!!!!!!!
hahahaaa...... Huku ukimuangalia kwa jicho la kuibia na kufinyangafinyanga mikono
Yaani we acha tu
Dume kupigwa istari ni habari nyingine kabisa
Hivi Husninyo yuko wapi?
Hii kitu inamhusu kabisa maana ni mhudumu wangu kule kwenye nyumba ya kondoo wa bwana.....lol!
Natakiwa nipewe go ahead kwanza
CC: Heaven on Earth
mambo ya chukua chako mapema........Housewife hiyo like uliyonipa huogopi na mimi ntaanza kuzama kwako kama shenazi. sababu moja wapo iliyomfanya amzimikie Eiya ni like kwenye post yake.
Me sio kama kuna haja ya kutamani hayo maneno uambiwe wewe,hata we pia yupo ambaye ulisha mwambia kama unampenda .
Anachokifanya Shenazi hapa anatimiza maandiko tu kama tulivyo agizwa upendo.
Sasa basi wale mabingwa wa kuumba maneno eti kisa tu mdomo ninyumba ya maneno watapeleka hisia mbalii,
wakati yeye hajaseme ni upendo wa aina ngani alionao kwa Eiyer.
we njoo bana toka lini mi na weye tukadhuriana EiyerHa,ha,ha,haaaaaaaaaaa!!!!!!
Ngoja nije...
Lakini ile mambo yako ya kuniambia halafu nikikataa unanipiga 'konzi' leo sitaki...lol!!!!!!!!
Ni upendo wa agae