Eiyer, Naomba nikabidhi Moyo wako.

Eiyer, Naomba nikabidhi Moyo wako.

wanaume miaka na miaka tumekuwa tukitongoza na bado tunakuja jukwaani kuomba ushauri wa namna ya kutongoza. Chek bdada alivyombunifu...hahaha...hakyanani tena Eiyer hachomoki
 
Last edited by a moderator:
Uwiiiii mbona rahaaa...jamani Eiyer nyota ya jaha imekudondokea!!bahati haiji mara mbili shauri zako!
 
Last edited by a moderator:
Duh! Mbona hizi bahati wengine hazitudondokei? Au tuanze na wake za watu nini?
 
Akikukabidhi moyo wake si ndio itakuwa Rest in peace. kereuwiiiii
 
Hahahaaa.... Bora umemuelewesha maana hata kichwa cha habari cha uzi sijui kwa nini hakielewi..! Aaah..!

BTW... Ina maana wewe hata huko PM hujadondokewa na zali kama la Eiyer?
Ah wapi, mabinti wa humu JF wabaguzi kaa nini..
Ndio maana siwapendi pendi...... LOL
 
Kwani miye natakaga makuu basi, labda kuchezewa tu sharubu nakuwa nimeridhiiiiika na mkwanja nakata kiulaini bila jasho

Hahahahaa....Hayo makuu usiyoyataka, wenzio ndio tuyatakayo haswaa..!!

Nitachezeaje sharubu halafu niridhike?

Lazima mtanange ueleweke la sivyo bahati kama hizi utazisikia kwa wengine tuu Lol
 
Bahati gani hii..!
I wish ingenidondokea miye, lakini ndio hivo tena bahati ya mwnzio usiilalie mlango wazi......

Babu weee.....bahati ikuangukie mara ngapi u r luckiest man coz bibi loves sana sana....
 
hiii hiiiii

kwani bei gani bana
bora Shenazi umejisemea yaliyo moyoni mwaya..

wenye gere kazi ni kwao!
 
Last edited by a moderator:
Sina namna ya kueleza dukuduku langu juu yako.
Eiyer, wewe ndie unaenifanya nimalize siku yangu kwa furaha.
Nafarijika sana nionapo likes zako, quotes na hata mentions.....katika wall yangu.
Dada snowhite nisaidie,Nampenda sana Eiyer.
Eiyer.....Nakupenda.
Wako katika Upofu,
Shenazi Jumbe.

Hili jambo lilikuwa moyoni mwako toka kitambo au ni baada ya Eiyer kuanzisha thread jana inayosema 'natafuta mchumba'? Oppotunistic vs pessimistic!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom