Eiyer, Naomba nikabidhi Moyo wako.

Eiyer, Naomba nikabidhi Moyo wako.

We nawe, unapotosha mada sasa..
Kwani hujui upendo wa siku hizi ni wa kumegana tu...
Huo unaoudhania ulishazikwa kitamboooooo............... Kalagabaho

WAbada HASI.......!!!!

Hahahaaa.... Bora umemuelewesha maana hata kichwa cha habari cha uzi sijui kwa nini hakielewi..! Aaah..!

BTW... Ina maana wewe hata huko PM hujadondokewa na zali kama la Eiyer?
 
Last edited by a moderator:
Sina namna ya kueleza dukuduku langu juu yako.
Eiyer, wewe ndie unaenifanya nimalize siku yangu kwa furaha.
Nafarijika sana nionapo likes zako, quotes na hata mentions.....katika wall yangu.
Dada snowhite nisaidie,Nampenda sana Eiyer.
Eiyer.....Nakupenda.
Wako katika Upofu,
Shenazi Jumbe.

Ngoja na mie nikakague kule kwangu nimjue anayeipamba wall yangu. Dada Madame B wewe ndio utakuwa mshauri wangu ukishirikiana na Fixed Point na miss strong.
Eiyer usiende pm maliza hapa hapa.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Eiyer njoo huku bana uchukue kimwana amejilengesha mwenyewe ndani ya kumi na nane
 
We nawe, unapotosha mada sasa..
Kwani hujui upendo wa siku hizi ni wa kumegana tu...
Huo unaoudhania ulishazikwa kitamboooooo............... Kalagabaho

WAbada HASI.......!!!!
Tatizo unatabili matokeo wakati mechi haikaanza unaweza kukosea, subili mwenyewe atarudi tu kusema ni upendo upi alio nao kwa eiyer.
Au meshituliwa na hilo neno la kuomba akabidhiwe moyo hiyo ni aina tu ya utengenezaji wa maneno ili yalete mvuto kulingana na kile anacho kisema.
 
Eiyer mbona hujitokezi banaha mwenzio kafunguka,tunasubiri na we utoe ya kwako moyoni usituangushe.
 
Last edited by a moderator:
7743150 said:
Dada snowhite nisaidie,.

Unaweza ukawa unaishi na mwanamke ndani and yet still ukawa hujui baadhi ya taaluma zake!!

Haya kwa mfano hapa, mi nilikuwa sijui kama wandani wangu snowhite ni kungwi.... mweh...

Kumbe, ndio maaana
 
Last edited by a moderator:
Eiyer, si uje jamani au mmeamia mlango wa pili, isije ikawa nachoma mahindi hapa kusubili movie ya upande wa pili
 
Last edited by a moderator:
Mkuu amunifurahisha sana! maana hawakawii hawa na pm zao!!!

ni kweli aisee!!

sio mtu anashukiwa hivi halafu wanaenda kugegedania kwa pm!

msexchatishane hapa hapa live bila chenga!
 
Bahati gani hii..!
I wish ingenidondokea miye, lakini ndio hivo tena bahati ya mwnzio usiilalie mlango wazi......
sana tuu..jamaa kalala mlango wazi, usiku kaingia swala...kesho yake jirani kamuiga nae kalala mlango wazi, usiku kaingia SIMBA!
 
waaaaacha we! Naona Shenazi anatafuta makuadi baada ya Eiyer kutia ngumu Pm...hahaha. Ukichomoka hili tego UPAPA ndio hadhi yako sio PAROKO TENA.
 
Last edited by a moderator:
Housewife hiyo like uliyonipa huogopi na mimi ntaanza kuzama kwako kama shenazi. sababu moja wapo iliyomfanya amzimikie Eiya ni like kwenye post yake.

Ngoja basi niongeze juhudi zijae walau maana ndio kigezo kikubwa zaidi si za kubip
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom