Finally 😁...Asanteee mkuu,maeneo gani nije kesho?
Mpaka dk hii mwaliko unasoma 0-0
Asanteee mkuu,maeneo gani nije kesho?
Kesho eid tukutane wapi?mie nina muda kuanzia saa sitaUende au twende?
Kesho eid tukutane wapi?mie nina muda kuanzia saa sita
Okay
Kama utakua Atown, karibu sana Sakina mkuuAsanteee mkuu,maeneo gani nije kesho?
Happy eid every one...
Mpaka dk hii mwaliko unasoma 0-0
sijaona ukigusia pilau au au ndo "tumshukuru mungu kwa kila jambo"😂😂
Corona imefanyaje?Sababu ni Corona na vyuma kukaza.
Nani kamfanya sivo Smart911 jamaniHuu Wema huu
Sio kwa kauli ya kurudia rudia hio!
Nawee piaEid imeangukia Makonda Day😁😁. Enewei, muwe na sikukuu njema wakuu.