Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 47,166
- 188,672
Huu sasa uchoyo
Huu sasa uchoyo
Ni yee.Haina kwere
😂😂Acha madeko
Unalalaje na hili jua?
😔😔Jamani
Acha kuchoma mainiMshkaji wangu ananipigia simu akaninunulie Balimi! wakati muhini nataka msosi...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi wewe Juma umenichunia? Don Clericuzio
Kwahiyo upo kwenye sendoff ya Rona?Dah, leo wengine tunasindikiza corona tu.
Kwahiyo upo kwenye sendoff ya Rona?
Mimi nakualika.Mpaka dk hii mwaliko unasoma 0-0
Kabisa aisee.
Ila jioni itabidi nitafute dawa.
Wapi huko?Mimi nakualika.
Huku nilipo.Wapi huko?
Uwii!! Nisamehe bure rafiki leo ndio naingia jf kwani mambo zilikuwa mingi mbaya.Oops. .I forget the one and only mama la mama rafiki kipenzi Shadeeya
Eid Mubarak sweetheart!
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app