Kama maharage ndio anamiliki call centre ya TANESCO akae pembeni kabla Waziri Biteko hajafika

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,589
55,175
Tanzania_Electric_Supply_Company(TANESCO)_logo.png

Salaam Wakuu,

Inadaiwa Call Centre ya Tanesco, kampuni iliyopewa Tenda ya kusimamia Huduma kwa Wateja ndani ya Tanesco ni Kampuni Binafsi. Inadaiwa ni ni mali ya Maharage na Makamba.

Inaongozwa na Mwamvita Makamba ambaye ni dada ya Januari Makamba Waziri wa Mambo ya Nje. Mwamvita Kaacha kazi Vodacom Afrika Kusini kaja kula pesa za bure TANESCO.

Watu wa call Centre wa TANESCO wote Wapo bench, wamechukua watu wao wa mtaani. Ndo maana hata Tanesco asipotoa taarifa ya mgawo wa umeme hakuna wa kuhoji.

Huduma kwa Wateja ipo mikononi mwa watu ndio maana Wananchi hawajui nini kinaendelea Tanesco.

Tanesco wote wanafuata amri za mkubwa.

Tatizo sio kuwapa Kampuni ya nje bali wanajilipa kwa Dola tena Kufuru.

Biteko anatakiwa afanye Kitu TANESCO ili itengamae. Sio watu wafukuzwe, bali wapelekwe mahakamani. TAKUKURU ipewe kazi hii.

Wafanyakazi wa TANESCO waliokuwa Call Centre wapangiwe majukumu mengine sio kushinda wanasoma magazeti.

Kituo cha Miito ya simu/Call Centre Makao Makuu sio waajiriwa wa Tanesco, wameletwa na Mwamvita.

Wapigie uwaulize

0768 985 100/0222194400

Ntakuwa nakuja na hoja moja. Ikifanyiwa kazi naleta nyingine.

Brela itusaidie kujua Erolink ni Kampuni ya nani. Vita ya Uchumi ni ngumu sana.. Brela hawatoi Ushirikiano.

Hata Watumie jina la shangazi au Binamu, TAKUKURU Watajua tu. Ngoja Biteko aifanyie kazi

======

Tanesco’s contract with Erolink sparks concern​

Kelvin Matandiko

Wednesday, November 16, 2022
tanesco-pic.jpg

What you need to know:​

  • The discussions revolve on the centre’s 270 employees’ future as well as the compensation cuts for those who will stay on to work there
Dar es Salaam. Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) has signed an agreement with a recruitment and outsourcing company, Erolink Tanzania Ltd, to run its customer care service in a development that has sparked five arguments.

The arguments include the future of the 270 workers of the centre as well as the reduction of wages for those who will continue to serve the centre.

According to the agreement that is to be effective in the next few days, Tanesco will be paying Erolink for serving all of its customers seeking electricity services after winning the tender floated in May, this year.

However, Tanesco’s managing director Maharage Chande stated that Erolink will have the right to decide who is deserving of joining its team and who is not based on their minimum requirements for employment.
Meanwhile, the general manager for Erolink, Mr Maximillian Tumaini said, the company will give a priority to employing the existing workers after the expiry of their contracts.

“Currently, there are those workers whose contracts with Tanesco will expire in January, February or April. Those whose contracts expire under Tanesco’s payroll, we will see if we can continue with them,” said Mr Tumaini.

He stressed that the criteria to be used in the decision whom to employ will be that one should possess diplomas and those with a proven record of conducting themselves ethically in their service delivery.

“Regarding the salary scales, we start from Sh400,000 onwards but it depends on the contract we sign with our workers. If they are complaining about an Sh700,000 pay, the truth is that our costs of serving one worker are more than that,” said Mr Tumaini.

But some of the workers to be affected by the contract raised their concerns yesterday, saying they were afraid of losing their jobs.

They also argue that some of them would have their salaries slashed in the new arrangements with the new employer.

The other argument being put forward by the employees is that there will be leakage of Tanesco’s information as its services will now be accessed by a private firm and also that instead of cutting costs and raising efficiency, the new arrangement could actually become a burden to Tanesco in terms of a rise in costs.

Another argument raised by the workers is the alleged violation of the National Employment Promotion Service Act no. 9 of 1999, which prevents job recruitment agency companies from employing and hiring workers, recruiting on behalf of another company, and being part of employment relationships between job seekers and employers.

However, the Act does not prevent a company from hiring its services and unemployed workers to an agency company as Tanesco did in its agreement, despite being a state-owned company.

“We have already been informed that our wages will be reduced from Sh757,700 to Sh400,000 for the same working hours but Erolink will benefit by exploiting us more. Why should they reduce our wages?” queried one of the workers on condition of not being named.

He said workers at the centre were also responsible for protecting the government’s data.

“Tanesco operates with a shoestring budget while at the same time it signs a deal to benefit other people with whom it has interests. This violates the company’s privacy and is dishonourable to the government. What will Erolink be adding?” queried another worker of the centre.

Energy minister January Makamba has on several occasions stressed the need to transform Tanesco’s operations in an effort to improve the efficiency of the power utility firm.

Last year, the new management team and new board were given the mantle to supervise Tanesco’s operations.
 
Hii habari ina ukweli mwingi sana hiyo ndio michezo ya maharage kila aingiapo sehemu ni lazima apenyeze vikampuni vyake uchwara kwa ajili ya kupiga pesa

Nchi hii ina matatizo makubwa sana ya viongozi kila kiongozi anapopata nafasi ya kuongoza anafikiria namna ya kupata ulaji sehemu husika,hakuna weledi kwenye jambo lolote zaidi ya ulaji.
 
Ili kuepusha adha zisizo za lazima kwa wananchi, za mgao, serikali iangalie uwezekano wa kufufua mkataba na IPTL iweze kuwasha mitambo yake kwa mkataba wa mwaka mmoja tu.
 
View attachment 2757121
Salaam Wakuu,

Inadaiwa Call Centre ya Tanesco, kampuni iliyopewa Tenda ya kusimamia Huduma kwa Wateja ndani ya Tanesco ni Kampuni Binafsi. Inadaiwa ni ni mali ya Maharage na Makamba.

Inaongozwa na Mwamvita Makamba ambaye ni dada ya Januari Makamba Waziri wa Mambo ya Nje. Mwamvita Kaacha kazi Vodacom Afrika Kusini kaja kula pesa za bure TANESCO.

Watu wa call Centre wa TANESCO wote Wapo bench, wamechukua watu wao wa mtaani. Ndo maana hata Tanesco asipotoa taarifa ya mgawo wa umeme hakuna wa kuhoji.

Huduma kwa Wateja ipo mikoni mwa watu ndo maana Wananchi hawajui nini kinaendelea Tanesco.

Tanesco wote wanafuata amri za mkubwa.

Tatizo sio kuwapa Kampuni ya nje bali wanajilipa kwa Dola tena Kufuru.

Biteko anatakiwa afanye Kitu tanesco ili itengamae. Sio watu wafukuzwe, bali wapelekwe mahakamani. TAKUKURU ipewe kazi hii.

Wafanyakazi wa tanesco waliokuwa Call Centre wapangiwe majukumu mengine sio kushinda wanasoma magazeti.

Kituo cha Miito ya simu/Call Centre Makao Makuu sio waajiriwa wa Tanesco, wameletwa na Mwamvita.

Wapigie uwaulize

0768 985 100/0222194400

Ntakuwa nakuja na hoja moja. Ikifanyiwa kazi naleta nyingine.

Juzi jumanne nilipiga simu 0748550000 baada ya umeme kukatika saa 5 asubuhi kutoa taarifa. Nikaambiwa imetokea emergency mafundi wanashughulikia. Ikapita lisaa, jamaa mmoja akanipigia kunifahamisha mafundi wanarekebisha umeme utarudi muda wowote. Na meseji kutoka TANESCO ikaingia «Tatizo lako limeshughulikiwa». Cha ajabu, umeme haukurudi hadi saa 2 na dakika jioni.

Leo umeme umekatika saa moja kasoro asubuhi nimepiga namba hiyo hiyo kuuliza wapi ntapata ratiba ya mgao kwa Dar. Jamaa wa huduma kwa wateja akasema hakuna mgao na kwa hiyo hakuna ratiba , ni matatizo ya upungufu wa umeme, mafundi wapo bize wakikamilisha umeme utarudi muda wowote. Nikamuuliza tatizo lipo wapi? Akaanza dana dana. Hajui ni wapi lakini mafundi wapo kazini. Umeme utarudi wakikamilisha kurekebisha mitambo. Baada ya hilo simu ikakata ghafla. Hadi sasa umeme hamna tokea asubuhi saa moja kasoro.
 
Halafu wanakulazimisha ukate simu. Asante kwa kutumia huduma za Tanesco. Tanesco inakuangazia maisha. Sasa hata kama sitaki tanesco ntatumia huduma gani?

Halafu eti kata simu.
 
Back
Top Bottom