cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,159
- 181,303
Kivuruge. 😂😂😂😂Au EID KIGEUGEU
Kivuruge. 😂😂😂😂Au EID KIGEUGEU
Ni wapi Quran imesema kuwa lazima mwezi uonekane kwenye nchi yako ndio ufunge?!Fungueni kwa kuonekana mwezi, kama mwezi haujaonekana katika nchi yako, wewe taarifa ya kuonekana mwezi umeitoa wapi, Quran inasema tumieni redio/darubini/TV kusikia habari ya kuonekana mwezi?
Muogopeni Allaah, Acheni kutangaza madhambi yenu?!Mm kuna demu n Kristo ila amefunga Kiislamu ananiambia atanipa K baada ya Ramadhan, afadhali hii siku ipite nikaichakaze mbunye yake tuu
Je km siku 30 zimefika na mwezi haujaonekana huko angani, inakuajee? LolKwetu sisi waislamu kutofautiana kwa baadhi ya mambo ni rehma na wala sio shar hata kidogo
Eid ni jambo dogo ukilinganisha na funga yenyewe,eid ni hitimisho la mwezi wa ramadhani,kwahiyo wewe ukilimaza leo na mimi kesho wala hakuna shida
Mfungo wa mwezi wa Ramadhani ni siku 29 au 30 hazizidi hapo,kwa mfano wenzetu.leo wamemaliza kufunga siku 29 na sisi tupo 28,hakuna mfungo wa siku 28,ni 29 au 30 tu basi
Kwahiyo hata kama mwezi haujaonekana tunakamilisha siku 30 na ndio eid yetu
Asante
Wewe dini umeisomea wapi?Sio lazima kukubali. Wao Wana wafuasi wao wanaotegemea taarifa zao ila waislamu wanaojitambua huwa hawategemei taarifa za bakwata kwakuwa hakuna mahala ambapo Allaah kawapa kibali bakwata kuwa wasemaji wa waislamu.
Usiseme pande mbali mbali za dunia sema Nchi za Kiarabu.pande mbalimbali za dunia?!
Kuna demu flan hv wa Kiislamu niliwahi kuichapa, aisee ana mbunye tamu knoma 🙌 namuonea wivu siku akifa atakwenda kuwa chakula cha magaidi huko peponiMuogopeni Allaah, Acheni kutangaza madhambi yenu?!
Ziogopeni adhabu za Allaah za duniani na akhera!.
Ikiwa baadhi ya wakristo wanasherehekea pasaka na wengine hawasherehekei sio mvurugano?!Bora hao wasiokua nayo, kuliko hawa walionayo na bado wanatofautiana ktk kuadhimisha hiyo siku.
Eid yaleta mvurugano, hii inabidi iitwe "EID KIVURUGE"
😂😂😂😂
Wavivu wa kazi utawajua 😹Hiyo inaweza kuwa ya Suni kiongozi. Siye wengine tunaombea iwe jumatatu na jumanne
Unaweza ukanipa sababu kwa nini mwezi ukiandama Yemen Saudia hawaufuati?Hata hizo nchi zilizotangaza kuuona mwezi zina mamufti Tena wenye elimu kushinda hawa mashehe ubwabwa wa hapa Tanzania.
Mwezi umeonekana Saudi Arabia, Qatar na Umoja wa Falme za kiarabu.
Hapo kuna mamufti watatu wenye elimu za kutosha ambao wamethibitisha mwezi umeonekana , Sasa Mimi niache kuwasikiliza mamufti watatu wa nchi za kiislamu ningoje ngonjera za mufti wa bakwata ?!
Huenda hukusoma kwa kutulia,ukirudia komenti yangu nimesema mfungo mwisho ni siku 30 za mwezi wa ramadhani,kwahiyo hata dunia nzima kukijaa wingu hesabu haziongopi inakuwa ni eid tayariJe km siku 30 zimefika na mwezi haujaonekana huko angani, inakuajee? Lol
😂😂😂😂
Itakuwa changamoto za kisiasaUnaweza ukanipa sababu kwa nini mwezi ukiandama Yemen Saudia hawaufuati?
Na Yemen na Saudia ni nchi jirani!
Akikubali basi haikua na maana ya kufunga..!!Nina demu kaninyima kisa Ramadhani.
Ngoja nimtumie ya Abaya na kukumbushia ahadi yetu.
Eid Mubarak.
Alaaah kumbe?! ko Leo chungu cha ngapi?Huenda hukusoma kwa kutulia,ukirudia komenti yangu nimesema mfungo mwisho ni siku 30 za mwezi wa ramadhani,kwahiyo hata dunia nzima kukijaa wingu hesabu haziongopi inakuwa ni eid tayari
Sio mvurugano na hakuna wanachosema, kubalini ukweli kuwa EID hii ni KIVURUGEIkiwa baadhi ya wakristo wanasherehekea pasaka na wengine hawasherehekei sio mvurugano?!
Unajua wale wasiosherehekea wanawasemaje wale wanasherehekea?!
Anza wewe mimi nitamalizia!Wewe dini umeisomea wapi?
Wewe utakuwa umefunga 27 sasa😂😂Mimi nimefunga na bakwata nafungua na saudia Arabia 😃
Wanao kula kesho eid ni cha 29,nasi cha 28,kwahiyo sie wa 28 lazima kesho tufunge cha 29 hlf tunacheki mwezi kama umeandama ni sawa eid na lau haukuandama basi tutafunga 30 jtatu na jnne ni sikukuu bila hata kuangalia mweziAlaaah kumbe?! ko Leo chungu cha ngapi?
😂😂😂😂😂