Eid Mubaarack. تقبل الله منا ومنكم

Eid Mubaarack. تقبل الله منا ومنكم

IMG-20250329-WA0018.jpg
 
Fungueni kwa kuonekana mwezi, kama mwezi haujaonekana katika nchi yako, wewe taarifa ya kuonekana mwezi umeitoa wapi, Quran inasema tumieni redio/darubini/TV kusikia habari ya kuonekana mwezi?
Mwezi nimeusikia kwa kupata taarifa kutoka sehemu mbali mbali kuwa umeonekana , ndo maana nafunga ,kwa kuonekana mwezi na kufungua kwa kuonekana mwezi.

Maimam wanne wa kiislam wataalam wa fiqhi(sheria za kiislam) ambao ni
1.Imam Abu Hanifa., 2. Imam Malik 3. Imam Shafi na 4. Iman Ahmad bin Hanbal wamezungumzia mambo haya.

Maimam watatu walifata msimamo wa kufunga na kufungua mwezi utakapoonekana popote duniani, na Iman mmoja ambae ni Imam shafi akafata msimamo wa kufunga na kufungua kwa kuona mwezi kwenye mji wake.

Hao ndiyo maimam wenye elimu kubwa katika uislam katika kutafsiri sheria za kiislam, kwahiyo mimi nimefata hoja yenye nguvu inayoungwa mkono na maimam watatu lakini sipingi Hoja ya Imam Shafi kwahiyo kama wewe umeshikilia hoja ya kufungua kwa kuona mwezi kwenye mji wako uko sahihi pia.

Hizo ni khitilafu na kila mtu ana hoja zake.
 
Nina demu kaninyima kisa Ramadhani.

Ngoja nimtumie ya Abaya na kukumbushia ahadi yetu.

Eid Mubarak.
Allaah akuongoze uyachukie madhambi au akupe maradhi mabaya ya ngono ( adhabu ya duniani ) yatakayokuonyesha ubaya wa dhambi ya uzinifu.
 
Mwezi nimeusikia kwa kupata taarifa kutoka sehemu mbali mbali kuwa umeonekana , ndo maana nafunga ,kwa kuonekana mwezi na kufungua kwa kuonekana mwezi.

Maimam wanne wa kiislam wataalam wa fiqhi(sheria za kiislam) ambao ni
1.Imam Abu Hanifa., 2. Imam Malik 3. Imam Shafi na 4. Iman Ahmad bin Hanbal wamezungumzia mambo haya.

Maimam watatu walifata msimamo wa kufunga na kufungua mwezi utakapoonekana popote duniani, na Iman mmoja ambae ni Imam shafi akafata msimamo wa kufunga na kufungua kwa kuona mwezi kwenye mji wake.

Hao ndiyo maimam wenye elimu kubwa katika uislam katika kutafsiri sheria za kiislam, kwahiyo mimi nimefata hoja yenye nguvu inayoungwa mkono na maimam watatu lakini sipingi Hoja ya Imam Shafi kwahiyo kama wewe umeshikilia hoja ya kufungua kwa kuona mwezi kwenye mji wako uko sahihi pia.

Hizo ni khitilafu na kila mtu ana hoja zake.
Elimu kubwa iko wapi mpaka hapo.
 
Wanawahi wapi??
Sidhan kama wamewahi,hii ni kwakuwa wao walianza na wanafuata mwezi wa kimataifa

Huu si wakati wa kubezana kuhusiana na mwandamo wa mwezi,ukiyajua haya mambo na dalili zake wala hayakupi tabu

Kikubwa tutakieni kheri funga zetu ziwe zenye kukubaliwa hilo ndio la muhimu
 
Ila waislamu wana kazi na hii EID, mara wengine ni kesho, wengine keshokutwa, wengine mtondogoo.

Full tafrani. Eid yaleta kizaa zaa. 😂😂😂😂
 
Ungekuja kupangua hoja moja moja nione nina haja ya kujielimisha.

Mwezi ni mmoja hakuna miezi miwili. Nyie fata mkumbo ambap mmekariri kwa kuambia hamtaki kusoma ndo shida inapokuja.

Ukweli upo Asilimia 95 ya wasomi wa dini ya kislam elimu ya Sayansi au dunia ni sifuri
Hujatoa hoja hata moja,ebu toa hoja tujadiliane maana naona umehadithia story tu
 
Ila waislamu wana kazi na hii EID, mara wengine ni kesho, wengine keshokutwa, wengine mtondogoo.

Full tafrani. Eid yaleta kizaa zaa. 😂😂😂😂
Wenyewe hatuna kazi hata kidogo,tunajua kwanini wao wako mlengo ule na sisi mlengo huu,nyie msiojua ndio mnapata shida
 
Shida mnayo nyie, huko kutofautiana kwa Eid,
Had mwenzi uonekane, je km siku 30 zimepita na hauonekani, inakuaje hapo? Lol
 
Ila waislamu wana kazi na hii EID, mara wengine ni kesho, wengine keshokutwa, wengine mtondogoo.

Full tafrani. Eid yaleta kizaa zaa. 😂😂😂😂
Unajua kuwa wakristo wa Madhehebu ya kisabato hawana sikukuu ya pasaka wala krismas pamoja na wale wa kanisa la efatha ministry pia hawaoni kuwa pasaka na krismasi ni sikukuu za kikristo?!
 
Bora hao wasiokua nayo, kuliko hawa walionayo na bado wanatofautiana ktk kuadhimisha hiyo siku.

Eid yaleta mvurugano, hii inabidi iitwe "EID KIVURUGE"
😂😂😂😂
 
Kwa mujibu wa Sunni Mwezi umeonekana Qatar, UAE na Saudii Arabia.. Tanzania na nchi nyingine hakuna sehemu umeonekana probably Eid itakua j3
Ila hii dini bhana 😂 kwahy Waislamu wa sunni wameuona mwezi ila Waislamu wengine hawajauona 😂
 
Bora hao wasiokua nayo, kuliko hawa walionayo na bado wanatofautiana ktk kuadhimisha hiyo siku.

Eid yaleta mvurugano, hii inabidi iitwe "EID KIVURUGE"
😂😂😂😂
Au EID KIGEUGEU
 
Shida mnayo nyie, huko kutofautiana kwa Eid,
Had mwenzi uonekane, je km siku 30 zimepita na hauonekani, inakuaje hapo? Lol
Kwetu sisi waislamu kutofautiana kwa baadhi ya mambo ni rehma na wala sio shar hata kidogo

Eid ni jambo dogo ukilinganisha na funga yenyewe,eid ni hitimisho la mwezi wa ramadhani,kwahiyo wewe ukilimaza leo na mimi kesho wala hakuna shida

Mfungo wa mwezi wa Ramadhani ni siku 29 au 30 hazizidi hapo,kwa mfano wenzetu.leo wamemaliza kufunga siku 29 na sisi tupo 28,hakuna mfungo wa siku 28,ni 29 au 30 tu basi

Kwahiyo hata kama mwezi haujaonekana tunakamilisha siku 30 na ndio eid yetu

Asante
 
Nina demu kaninyima kisa Ramadhani.

Ngoja nimtumie ya Abaya na kukumbushia ahadi yetu.

Eid Mubarak.
Mm kuna demu n Kristo ila amefunga Kiislamu ananiambia atanipa K baada ya Ramadhan, afadhali hii siku ipite nikaichakaze mbunye yake tuu
 
Back
Top Bottom