Eid Mubaarack. تقبل الله منا ومنكم

Eid Mubaarack. تقبل الله منا ومنكم

kwanini uonekane mkubwa na leo umeonekana nch 3 tu Qatar, UAE na Saudi hizi nchi nyingine kwa nini haujaonekana? na kwanini ukionekana nchi izo ambazo leo haujaonekana kwanini uonekane mkubwa?

Huu mwezi unatuchonganishe ee? haiwezekanu uonekane nch 3 tu dunia nzima
moja ya maajabu ya Mungu.
na huku kuonekana kwa mwezi kwa baadhi ya nchi ndo UJUZI WA MUUMBAJI.hakijaharibika kitu.ila wale wa 28 wanatakiwa wafunge kesho ili wapate 29 ka ma wenzao
 
Fungueni kwa kuona mwezi, nyie mmeona mwezi au mmepewa taarifa, kwanini mnatumia vyombo vya habari kusikia kuhusu mwezi ulioandama nchi tofauti na yako?
Hakuna miezi miwili duniani..
Ni swala la Elimu tuu. Hao wasoma dini ya kislam wengi hawataki kusoma na Elimu za sayansi hivyo akili zao zimekuwa zakukariri tu.
..
Mwezi unaweza kuonekana Dodoma ila Dar usionekane sio hakuwepo, laahasha, ila ni Swala la majira(Mwanga wa jua, mawingu, milima, humidity, n.k).

Nakumbuka mwaka flani nikiwa mdogo mkoani kilimanjaro kijiji nilichokuwepo tuliona mwezi ila hakukutangazwa kuwa ni Iddi kitaifa(hapa mfano utasemaje).

Ndo maana kamwe hutoona Nchi ambazo wameletea dini kama Saudia Arabia wanachangamoto hizi za Idd kwasababu ukiacha dini ila wanashirikisha na Sayansi

Pia kwa vile nchi yao ni jangwa hivyo kuandama kwa mwezi hunaonekana zaidi kwani hakuna mawingu jioni.

Mwezi ni mmoja mambo sijui eti uwepo kenya alafu Tz usiwepo ni ukosefu wa elimu tuu za sayansi na kubaki kuriri tu
 
Kesho jumapili ya tarehe 30 march 2025 ni sikukuu ya Eid Al fitri kwa waislamu wote duniani.

Eid hii inakuja baada ya kuonekana mwezi wa shawwaal (mfungo Moshi ) ambao ni alama ya kumalizika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Taarifa za kuonekana mwezi wa shawwaali zimepatikana toka mataifa mbalimbali ya kiislamu ikiwa pamoja na Saudi Arabia, Qatar na Umoja wa Falme za kiarabu UAE.

Mtume Muhammad صلى الله عليه وسلم amesema: "fungeni kwa kuonekana mwezi, na fungueni kwa kuonekana mwezi, na mwezi ukifunikwa juu yenu(msiuone) kamilisheni siku thelathini)

Kunako majaliwa mimi nataraji kuswali swala ya Eid kesho asubuhi saa Moja na nusu katika uwanja wa Mandela mtaa wa Pasua manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro..

Namuomba Allaah azikubali ibada zetu za mwezi wa Ramadhani, na kwa rehema zake atupe uwezo na umri wa kuifikia Ramadhani ya mwaka ujao. Aammiyn.
Mufti ametangaza?
 
Mkuu kwanini Mungu auoneshe mwezi uarabuni tu alaf bara zima la Afrika wasiuone? bara zima la Amerca wasiuone bara zima la Asia wasiuone

waone nchi 3 tu Qatar UAE na Saudi arabia.
Kwa nini Mungu Aamue kuonesha hayo maeneo tu? alaf sisi tuuone kesho

we huone hapo kuna ki2 kinafundishwa
 
Idd ya ukweli ni ya kesho. Walianza tarehe 1 na wamemsliza tarehe 30. Hizo ni siku 30.
Idd ya jumapil ni ya BAKWATA, ambao ni tawi ka ccm. Walianza tarehe 2 na watamalza tarehe 31. Na mpaka watangaziwe na Mufti.
Yote kwa yote. Idd Mubarak
 
Mkuu suala la mwezi linautofauti kuanzia kwa Maimam wale wa 4 ambao Waislam wote wanawakubali hao maimamu.

Maimamu wawili wameshikilia msimamo wa unapoonekana popote kwenye kundi hili ndio Sunni wapo na maimamu wawili waliobaki akiwemo Shaffi wanashikilia msimamo wa kuonekana kwenye maeneo yenu na miji yenu hapa ndio bakwata wapo humu.

Sasa kama Maimamu walitofautiana Na hao Maimamu wenye Elimu zao sisi ni nani tuanze kuonana huyu sahihi na huyu sio sahihi?

Viongozi wa Saudi Arabia waliulizwa wao kama wao wanasemaje niliskiliza clip moja hivi wakajibu watu waangalie mwezi maeneo yao
 
Kesho jumapili ya tarehe 30 march 2025 ni sikukuu ya Eid Al fitri kwa waislamu wote duniani.

Eid hii inakuja baada ya kuonekana mwezi wa shawwaal (mfungo Moshi ) ambao ni alama ya kumalizika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Taarifa za kuonekana mwezi wa shawwaali zimepatikana toka mataifa mbalimbali ya kiislamu ikiwa pamoja na Saudi Arabia, Qatar na Umoja wa Falme za kiarabu UAE.

Mtume Muhammad صلى الله عليه وسلم amesema: "fungeni kwa kuonekana mwezi, na fungueni kwa kuonekana mwezi, na mwezi ukifunikwa juu yenu(msiuone) kamilisheni siku thelathini)

Kunako majaliwa mimi nataraji kuswali swala ya Eid kesho asubuhi saa Moja na nusu katika uwanja wa Mandela mtaa wa Pasua manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro..

Namuomba Allaah azikubali ibada zetu za mwezi wa Ramadhani, na kwa rehema zake atupe uwezo na umri wa kuifikia Ramadhani ya mwaka ujao. Aammiyn.
Wengine wanasubiri tamko la Bakwata
 
Fungueni kwa kuonekana mwezi na Fungueni kwa kuonekaana mwezi, ukisema kuuona maana yake kipofu hawezi kufunga wala kufungua
Fungueni kwa kuonekana mwezi, kama mwezi haujaonekana katika nchi yako, wewe taarifa ya kuonekana mwezi umeitoa wapi, Quran inasema tumieni redio/darubini/TV kusikia habari ya kuonekana mwezi?
 
Fungueni kwa kuona mwezi, nyie mmeona mwezi au mmepewa taarifa, kwanini mnatumia vyombo vya habari kusikia kuhusu mwezi ulioandama nchi tofauti na yako?
Waislamu wa dunia nzima wote ni ndugu.
Waislamu waliopo mashariki mwa Dunia na waliopo magharibi, kusini na kaskazini wote ni ndugu.
Mungu wao ni mmoja, mtume wao ni mmoja, kitabu chao ( Qurani ) ni kimoja na kibla Chao ni kimoja.
Ni jambo jema wakifunga na kufungua pamoja.
Mipaka kati ya nchi moja na nyingine imewekewa na wanasiasa kwa faida na maslahi ya kisiasa .( Nchi nyingi barani Afrika mipaka yake imewekwa na wakoloni)
Na mipaka hii hubafilika mara kwa mara kwa maslahi na faida za kisiasa.
Kwa msimamo wa kwamba KILA NCHI NA MWEZI WAKE! hadi tarehe 25 April 1964 waislamu wa Tanganyika walikuwa na mwezi wao na waislamu wa Zanzibar walikuwa na mwezi wao.
Mara baada ya muungano April 26 , 1964 mwezi mmoja ukazamishwa baharini ukapotea ( sina uhakika kama mwezi uliopotea ni ule wa Tanganyika au mwezi wa Zanzibar ndio uliopotea!)
Hadi mwaka 2010 waislamu wa Sudani ya kusini na kaskazini walikuwa wanafunga kwa mwezi mmoja kwa kuwa Sudani ilikuwa moja tu bila kujali kwamba kuna kusini na kaskazini.
Kutokana na migogoro ya kisiasa mwaka 2011 Sudani ya kusini ikajitenga toka Sudani ya kaskazini.
Kwa msimamo wa KILA NCHI NA MWEZI WAKE waislamu wa Sudani kusini ikabidi watafute mwezi wao kwakuwa hawawezi kufunga kwa mwezi ulioandama Sudani ya kaskazini wakati hiyo ni nchi tafauti.
Kwa maslahi na faida za WANASIASA yaliyotokea Sudani siku moja yaweza yakatokea Tanzania.
Kwa maslahi na faida za WANASIASA haitashangaza siku moja kuwa na Tanzania ya mashariki na Tanzania ya magharibi, au Tanzania ya kusini na Tanzania ya kaskazini . Je itakuwa kila nchi zikitengana tunatafuta mwezi mpya na zikiungana mwezi mmoja tunauzika?!
 
Hakuna miezi miwili duniani..
Ni swala la Elimu tuu. Hao wasoma dini ya kislam wengi hawataki kusoma na Elimu za sayansi hivyo akili zao zimekuwa zakukariri tu.
..
Mwezi unaweza kuonekana Dodoma ila Dar usionekane sio hakuwepo, laahasha, ila ni Swala la majira(Mwanga wa jua, mawingu, milima, humidity, n.k).

Nakumbuka mwaka flani nikiwa mdogo mkoani kilimanjaro kijiji nilichokuwepo tuliona mwezi ila hakukutangazwa kuwa ni Iddi kitaifa(hapa mfano utasemaje).

Ndo maana kamwe hutoona Nchi ambazo wameletea dini kama Saudia Arabia wanachangamoto hizi za Idd kwasababu ukiacha dini ila wanashirikisha na Sayansi

Pia kwa vile nchi yao ni jangwa hivyo kuandama kwa mwezi hunaonekana zaidi kwani hakuna mawingu jioni.

Mwezi ni mmoja mambo sijui eti uwepo kenya alafu Tz usiwepo ni ukosefu wa elimu tuu za sayansi na kubaki kuriri tu
Saudi Arabia wanafuata kalenda, mwezi uonekane usionekane wanafungua
 
Kesho jumapili ya tarehe 30 march 2025 ni sikukuu ya Eid Al fitri kwa waislamu wote duniani.

Eid hii inakuja baada ya kuonekana mwezi wa shawwaal (mfungo Moshi ) ambao ni alama ya kumalizika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Taarifa za kuonekana mwezi wa shawwaali zimepatikana toka mataifa mbalimbali ya kiislamu ikiwa pamoja na Saudi Arabia, Qatar na Umoja wa Falme za kiarabu UAE.

Mtume Muhammad صلى الله عليه وسلم amesema: "fungeni kwa kuonekana mwezi, na fungueni kwa kuonekana mwezi, na mwezi ukifunikwa juu yenu(msiuone) kamilisheni siku thelathini)

Kunako majaliwa mimi nataraji kuswali swala ya Eid kesho asubuhi saa Moja na nusu katika uwanja wa Mandela mtaa wa Pasua manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro..

Namuomba Allaah azikubali ibada zetu za mwezi wa Ramadhani, na kwa rehema zake atupe uwezo na umri wa kuifikia Ramadhani ya mwaka ujao. Aammiyn.
Je Bakwata watakubali
 
Back
Top Bottom