eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Utafika umechelewa za kukabia ni mbili japo inabidi uwe chap kwenye vidole ni Match up na Dash kwa kukaba nafasi lakini, na hapo inabidi umsome mpinzani wako anacheza mpira gani mfano kama anapenda kupitia kulia we akishika mpira kabia kulia na ukiona amechange ameanza pitia kushoto na wewe usilale kama Anko T chap rudi kushoto japo yeye pia itamtesa maana keshakua na mazoea ya kupitia kulia
Kumbeee Razorblade wewe kuku wa maziwa leo ulichonifanyia😂😂
 
😀😀 hadi ww AI kakufunga n htr
Walrd ana watu wake 😃😃

Leo hiyo first half hapo
Screenshot_20260606-152721.png
 
Back
Top Bottom