Duuh ndo sikupig shoot hata moja
Ilikuaje mkuu Ronaldo alikosa na kipa au Alipaisha??Corrie de killer nimepasua kioo cha simu kesho nifanye mpango wa tambo jingine tutaruka
PoapoaCorrie de killer nimepasua kioo cha simu kesho nifanye mpango wa tambo jingine tutaruka
Iloanguka😀 hii mara ya pili nabadilisha kioo ni muda sasa nipate simu nyingine tuIlikuaje mkuu Ronaldo alikosa na kipa au Alipaisha??
Sawaa mkuuIloanguka😀 hii mara ya pili nabadilisha kioo ni muda sasa nipate simu nyingine tu
Nilikua na uhitaji.Lakin uzika coins 1800 pale brother
Jielezee bhana game ya piliView attachment 3602074morning groly
🤠😂🤠😂Jielezee bhana game ya pili
Nipo mkuu turukeCorrie de killer upo saa ngapi
Ngoja nipande kwenye network nikifika nitakuchekNipo mkuu turuke
WarlD usernameNgoja nipande kwenye network nikifika nitakuchek
Username ni pellyWarlD username