Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 13,918
- 31,082
Utakuja na PF3 sioUkiweka hiyo hana net unafanya mtu aje na wema room mkuu, mie sitaki wema wa mtu.
Utakuja na PF3 sioUkiweka hiyo hana net unafanya mtu aje na wema room mkuu, mie sitaki wema wa mtu.
Masta wewe😃Mi ukweli sina training
Umeanza kupiga skills tumeishaUmeona sombrero ile ukasababisha penat kuepuka fedheha
Hiyo kwa msaada wa SA ni kudouble tap dashUmeanza kupiga skills tumeisha
Nilijua tuu hii kauli itafata nilitaka nishngae kashindaje huyu😃😃Haujawahi onesha ushindani ndiyo maana nacheza mizaha
Unakaza 😃😃Hakuna hiyo kitu, hili ni game na daily unakutana na opponent mwenye uchezaji tofauti na wako, huwezi sema hujifunzi kitu.
Aah familia kabisa wewe😃😃Sina net ya kuonyesha huo ushindani, kuna utofauti kati ya mechi za sasahivi na za kipindi cha nyuma.
Na sipati hiyo gametime ya kucompete na wengi humu ndiyomaana nacheza for fun.
Mpe point zake maana hamna kwa kupatia pointNilijua tuu hii kauli itafata nilitaka nishngae kashindaje huyu😃😃
Tutakuja kuuana room siku mojaTraining ni kwenda kupractise iwe na AI ama qm ila mimi muda mwingi ni division na friend match za kutoana jasho.
Call for pressure ni yangu tuu😅😅wape na wengine radhaHahah kuna siku ntakuonesha pira mtafute-mtafute ( ushawahi kubiwa pressure na match up kwa pamoja 😂😂
Tutafika tuuUshaweka levels before kwahiyo usitegemee nitaweza compete na wewe kwa hali niliyokua nayo mkuu, net yako mbovu kutokana na eneo uliyopo kwa sasa.
Hakuna mtu ambaye hapendi kucompeete ila mazingira hayaruhusu ndiyomaana nacheza for fun sababu tu napenda kucheza game.
Leo unacheza na yoyote aliyepo mkuu😅Leo hamna fixture wakuu?...
Kwema mkuu umepotea hukuMamaster kwema
Razor mpk saa ameshacheza GGR laki tatu 😅😅Razor huyooo
Ananishindisha GGR 😂 ashtakiwe
Dah sie wemaOngeza na Razorblade katibu wao😂
Amezitaka atazipata😃Iko kaziii
Aah saivi ni easyHiyo kwa msaada wa SA ni kudouble tap dash
SawaaK
Mpe point zake maana hamna kwa kupatia point
Nkicheza na AI nafungwa maana najua hata nkiwafunga hamna kitu wanahisi 😂😂😂😂Tutakuja kuuana room siku moja