eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Sina net ya kuonyesha huo ushindani, kuna utofauti kati ya mechi za sasahivi na za kipindi cha nyuma.

Na sipati hiyo gametime ya kucompete na wengi humu ndiyomaana nacheza for fun.
Jaribu kucompete hata kama huna net , maana mimi sina net ila nacompete net ikikataa ndiyo basi
 
Jaribu kucompete hata kama huna net , maana mimi sina net ila nacompete net ikikataa ndiyo basi
Ushaweka levels before kwahiyo usitegemee nitaweza compete na wewe kwa hali niliyokua nayo mkuu, net yako mbovu kutokana na eneo uliyopo kwa sasa.

Hakuna mtu ambaye hapendi kucompeete ila mazingira hayaruhusu ndiyomaana nacheza for fun sababu tu napenda kucheza game.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom