Warld
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 2,013
- 5,196
Nmekuletea matokeo ama huyatakiMbona siwaelewi nyie nani alishinda
Nmekuletea matokeo ama huyatakiMbona siwaelewi nyie nani alishinda
Ila we jamaa 😂😂😂🙌🙌🙌
Eeeh hiyo ni kwaaajili ya Corrie de killerAah saivi ni easy
😃😃Hawelewi tunachopitiaNkicheza na AI nafungwa maana najua hata nkiwafunga hamna kitu wanahisi 😂😂😂😂
Tutakuja tuuane tuu siku hapo kati😃😃We mjuaji kuna muda mpira hautoki katikati ya dimba nkipora nkitoa pass unabroke nawe ukitoa pass nabroke hadi itokee mmoja apige through 😂😂😂
NimejazaNmekuletea matokeo ama huyataki
Leo ndo nimejua Baia sio kipa😅😅😅Ila we jamaa 😂😂😂🙌🙌🙌
Itabidi watoe mechi za vs AI😃😃Hawelewi tunachopitia
Huyo alikuwa ananisave navoanza game 😂😂😂🙌🙌🙌Leo ndo nimejua Baia sio kipa😅😅😅
Kikosi chako kina wachezaji wakuamua mechi ni balaaLeo ndo nimejua Baia sio kipa😅😅😅
Waweke filter na Kwenyewe kwa ajili ya RazorItabidi watoe mechi za vs AI
Umeona yale magoal ya Batistusta akipiga tuu imoHuyo alikuwa ananisave navoanza game 😂😂😂🙌🙌🙌
Sasa Movich na Batistusta wanaanzia nje unategemea nini 😅Kikosi chako kina wachezaji wakuamua mechi ni balaa
Sasa Movich na Batistusta wanaanzia nje unategemea nini 😅
Umeanza kufanya sub za beki leo uliingiza Akanji😃😃Ntasolve hilo
Ana hakikisha hurudii ten kuchez nae😂
Me siwezi acha tunajuana😃😃ukienda bila gadi unaziokota tuuAna hakikisha hurudii ten kuchez nae😂
😀 ndio maan nilisema huyo si mwema akikuotea, ni kam wewe tu😀Me siwezi acha tunajuana😃😃ukienda bila gadi unaziokota tuu
Situmiagi dash mimi nimeanza kuijaribu sasahivi tu 😂Kumbeee Razorblade wewe kuku wa maziwa leo ulichonifanyia😂😂
Me siotei😃😃ni either unzid au nikuzidi same na warld😀 ndio maan nilisema huyo si mwema akikuotea, ni kam wewe tu😀