eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Dash naona inafanya poa kwenye kukimbizana ila mtu akiwa anatoa mojamoja ni useless
Ndo nataka niwe najua kuswitch kulingana na maeneo.

Kwenye 1-2 passes mtu akiwa kwenye half yake inasaidia ila sio kwa kuishika yenyeywe moja kwa moja inachelewa kidogo kutoa namba.
 
Hiyo dash nipo nayo training nikishindwa naiac
Utafika umechelewa za kukabia ni mbili japo inabidi uwe chap kwenye vidole ni Match up na Dash kwa kukaba nafasi lakini, na hapo inabidi umsome mpinzani wako anacheza mpira gani mfano kama anapenda kupitia kulia we akishika mpira kabia kulia na ukiona amechange ameanza pitia kushoto na wewe usilale kama Anko T chap rudi kushoto japo yeye pia itamtesa maana keshakua na mazoea ya kupitia kulia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom