Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,413
- 27,291
Aah ni muda wowote ila mwisho saa 0000Kabisa mkuu, kuanzia saa 4 mpaka saa 5:59 mpinzani asipotokea aliyekuwepo anapewa alama 3 ili ligi isiwe inakaa muda mrefu.
Aah ni muda wowote ila mwisho saa 0000Kabisa mkuu, kuanzia saa 4 mpaka saa 5:59 mpinzani asipotokea aliyekuwepo anapewa alama 3 ili ligi isiwe inakaa muda mrefu.
Na inakupa notifications hivi ukitoka kwenye app?Mimi naatumia app.
Nimezima notifications ila kabla sijazima nilikuwa napata.Na inakupa notifications hivi ukitoka kwenye app?
Utakuja uludishe majibu hapa😃😃Haha, kubutua tena mkuu? 🙄
Dah🤣kwahiyo soka langu mmeshalipa jina😃😃😃Huyo mpira wake ni mchanganyiko wa singeli na amapiano 😂.
Soka langu linaitwa clear iniokoe kwanza😃😃mengine baadaeKila mtu anaruka na mipira sio 😂 AIR BALLS COUNTER
Owaaa nitatuma screenshot za jana kaka🤣🤣🤣Na akikufunga kuridisha labda uvunje simu 😂.
Niliona ushanitumia request tutazama mida 🔥Utakuja uludishe majibu hapa😃😃
😃😃DahVindege FC😃
Me natumia web😃😃Hivi nyie mnatumia Web au App kuingia humu JF? Mana mi natumia app na hainipi notification yoyote kama hata mtu akinireply au akinitag humu
Mpaka niingie ndo nakuta hata notifications 20+ 🥴
Sawa mkuu👏Niliona ushanitumia request tutazama mida 🔥
Nime-login mule tayari, ngoja nione kama nitaanza kupata notifications.Me natumia web😃😃
Ukitaka kupata notification tumia app web sijajua labda uenable notifications...Nime-login mule tayari, ngoja nione kama nitaanza kupata notifications.
Hiyo app web ndo ipi? Hapa naitumia humu Chrome saiviUkitaka kupata notification tumia app web sijajua labda uenable notifications...
Me sina mtandao mwingine kwa sasa zaid ya Jf ndo maana nakuwa active sana naifungua mara nyingi mingine yote nimesign out now ni mimi Jf, Efootball na PUBG siku imeisha...😃
Uwandishi mbovu kaka nilikuwa namaanisha Tumia App,,,, web sidhan kama utapata taarifa labda upush notificationsHiyo app web ndo ipi? Hapa naitumia humu Chrome saivi
Trent ana kimbiza sana Rb japo kwenye kikosi changu ata sub hakaiUnahangaika nae na hilo booster lake, nilipata free spin pale kwenye world player nia yangu nimpate Trent lakini sijafanikiwa.
App kwangu ndo hainipi taarifa sasa kaka, mpaka nimetoa battery optimization nimeweka unrestricted na haileti kitu.. ila hapa kidogo hii Web inaleta notificationUwandishi mbovu kaka nilikuwa namaanisha Tumia App,,,, web sidhan kama utapata taarifa labda upush notifications
Aah sawaa kakaApp kwangu ndo hainipi taarifa sasa kaka, mpaka nimetoa battery optimization nimeweka unrestricted na haileti kitu.. ila hapa kidogo hii Web inaleta notification
nipe kipa nikupe mess na lewandosky wachezaji wako slow kama konokonoWakuu POTW wanaoshuka si ni wale wenye booster pekee?
Nimemuopoa Courtois hapa nilikuwa namtaka sana.
View attachment 3314135
Hizi 90+ zinanikera sana aisee, siku ambayo first eleven yangu na subs wote wakiwa 100+ nitafurahi sana.
View attachment 3314136
Singelimapiano 😂.Dah🤣kwahiyo soka langu mmeshalipa jina😃😃😃