Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Nikimchukua Gesperin naachana na Alonso na Mourinho.Alonso anayo
Manager ninaye mmoja tuu Alonso
Nikimchukua Gesperin naachana na Alonso na Mourinho.Alonso anayo
Manager ninaye mmoja tuu Alonso
Wazo zuri hili saa nne usiku kila siku tunacheza maana naona muda huo ndo match za humu zinaendeleaEdo kissy kwanini usianzishe JF eFOOTBALL NIGHT CUP?
Kama wazo likipita app hiyo ya kuandaa.
👇👇👇
View attachment 3314327
Mournho alikuwa ana booster ya nini??Nikimchukua Gesperin naachana na Alonso na Mourinho.
Kabisa mkuu, kuanzia saa 4 mpaka saa 5:59 mpinzani asipotokea aliyekuwepo anapewa alama 3 ili ligi isiwe inakaa muda mrefu.Wazo zuri hili saa nne usiku kila siku tunacheza maana naona muda huo ndo match za humu zinaendelea
Tackling.Mournho alikuwa ana booster ya nini??
Haha, kubutua tena mkuu? 🙄Usiku kaka mishale ya saa nne nitakuwepo hapa tupeane ujuzi😃😃ila kwangu utajifunza kubutua na kuconcede goal nyingi😃😃
App nzuri sana ya kuandaa mashindano, huwa natumia na masela tunacheza ligi yetu 👍🔥🔥Edo kissy kwanini usianzishe JF eFOOTBALL NIGHT CUP?
Kama wazo likipita app hiyo ya kuandaa.
👇👇👇
View attachment 3314327
Huyo mpira wake ni mchanganyiko wa singeli na amapiano 😂.Haha, kubutua tena mkuu? 🙄
Kila mtu anaruka na mipira sio 😂 AIR BALLS COUNTERHuyo mpira wake ni mchanganyiko wa singeli na amapiano 😂.
Mkuu utakuwa tayari kwahiyo night cup?App nzuri sana ya kuandaa mashindano, huwa natumia na masela tunacheza ligi yetu 👍🔥🔥
Yeah. Nitashiriki kakaMkuu utakuwa tayari kwahiyo night cup?
Na akikufunga kuridisha labda uvunje simu 😂.Kila mtu anaruka na mipira sio 😂 AIR BALLS COUNTER
Poa mkuu tumsubiri Edo kissy na wengine waje.Yeah. Nitashiriki kaka
Vindege FC😃Na akikufunga kuridisha labda uvunje simu 😂.
Ukinifunga nimekufunga na nikikufunga nimekufunga tu 😂.Vindege FC😃
Natumia webHivi nyie mnatumia Web au App kuingia humu JF? Mana mi natumia app na hainipi notification yoyote kama hata mtu akinireply au akinitag humu
Mpaka niingie ndo nakuta hata notifications 20+ 🥴
Ah, ngoja nijaribu WebNatumia web
Mimi natumia app.Hivi nyie mnatumia Web au App kuingia humu JF? Mana mi natumia app na hainipi notification yoyote kama hata mtu akinireply au akinitag humu
Mpaka niingie ndo nakuta hata notifications 20+ 🥴