eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

😂😂😂
Kwa hakika ndugu yangu, hasa baada ya kuniambia na commentary nayo ni download, pia baada ya kupata vichapo viwili mfululizo mood imekata kidogo😁😁

Ila I will back stronger again
Nita revive battle again na huku kama DLS💪🏿💪🏿
Umechapwa na nani? Usinambie AI wamekufunga😂😂😂🙌
 
Daah atleast Arsenal are out
Humu tuu 😃😃
file_000000006cac7243ba6c94a59d635106.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom