Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,838
- 12,163
Nitakushangaza 😂Sasa nimemuelewa alipo sema yupo likizo😂😂🙌🏾,
Ur prisoner 😂
Nitakushangaza 😂Sasa nimemuelewa alipo sema yupo likizo😂😂🙌🏾,
Ur prisoner 😂
Ulikimbia ndo unajirejesha 😂Mkuu samaleko😎
Nikiweka mambo hadharani mtaona wivu 🤣🤣🤣Nimelia sana si umpeti peti kijana T
HahahaAhsante sana ma mkali 😂
🤣🤣🏃Sasa nimemuelewa alipo sema yupo likizo😂😂🙌🏾,
Ur prisoner 😂
😂😂😂Unaendeleaje mkuu vip linapanda au unaona mauza uza bado
Ntakufata unakoshinda nikushangaze 😂😂😂😎Ndukiii🏃🏾
Mtu asitoke jf😂😂
Na wakipatana beba kapu ukavune 😂Mwambie wawili wakigombana shika jembe ukalime🤣
🤣🤣🤣
🤣🤣🤣👌👌
Ujatupa na kamba kabisa😃Nikiweka mambo hadharani mtaona wivu 🤣🤣🤣
Kaka trust me ukiweka nia unalijua Vizuri tuu na ni bonge la game DLS ikasome😂😂😂
Kwa hakika ndugu yangu, hasa baada ya kuniambia na commentary nayo ni download, pia baada ya kupata vichapo viwili mfululizo mood imekata kidogo😁😁
Ila I will back stronger again
Nita revive battle again na huku kama DLS💪🏿💪🏿
🔥Nawasilisha kwenu, JF PREMIER LEAGUE.
hii itachezwa muundo wa ligi za kawaida kama EPL.. ila kwa siku kutakuwa na fixture 1 ambayo mtacheza Home & Away 🤞
Mthibitishe kuwepo tu, badae night kiwake humu wakuu.
Maoni yenu.. View attachment 3461036
Cc- Alexander Lukashenko // Corrie de killer // Edo kissy // Mill broh // Mr Devil // NEGAN // Razorblade // Kandambili1 // Warld