Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,555
- 11,348
Namuona Alaba akila pesa yangu 😂Ngoja nimtrain mtamkuta CB pale😃😃
Namuona Alaba akila pesa yangu 😂Ngoja nimtrain mtamkuta CB pale😃😃
Tayari zamani hivyo 😂 nilienda kupiga daily penalty✅✅Mapema sana na leo kama kuna wifi ofisini kwako update game kabisa
Umejisikiaje kutengwa mwanetuNimekikuta huko 😂
Leo tuguse nimtie mibuti nimuumize😂💔Nani zaid yake😃😃
😂😂😂 mapema alfajiriNgoja nimtrain mtamkuta CB pale😃😃
Ushampata? Hujataka kuchelewa 😂Tushamchukua na timber pale
😄😄 nilimchukua hku nikisikiliz ngoma ya Ibra - UhakikaUshampata? Hujataka kuchelewa 😂
🤣🤣🤣🤣Huyon ni wako
😆😆👌umerudi eehYou are the only one i love, the one that i belongs to. Mi vida ♥️
Dj walete😃You are the only one i love, the one that i belongs to. Mi vida ♥️
Elfu sita😃😃😃ila umeona division rewardsNamuona Alaba akila pesa yangu 😂
Upo vizuriTayari zamani hivyo 😂 nilienda kupiga daily penalty✅✅
We simweki😅😅😅maana huna dogo wewe😃😃Leo tuguse nimtie mibuti nimuumize😂💔
Nimelia sana si umpeti peti kijana T😆😆👌umerudi eeh
Haya karibuuu
Kuna muda kutengwa kuna raha 😂Umejisikiaje kutengwa mwanetu
Ahsante sana ma mkali 😂😆😆👌umerudi eeh
Haya karibuuu
Aibaruze bila kumix 😂Dj walete😃
Hamna nimeamua kudeal na AI mpaka nifike dvn 1 😂Elfu sita😃😃😃ila umeona division rewards
Au unaleta umadrid
Zuhura amesema hivi "Na nikinuna nikajifanya mkaksi jua hapo ndo napotaka sana" halafu mwisho akamalizia "BADO NAKUPENDA"Nimelia sana si umpeti peti kijana T