kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,331
- 4,706
😀😀 unamfahamu?Amna mtu hapo
😀😀 unamfahamu?Amna mtu hapo
Ivi unakumbuka me na wewe ni Derby😃😃😃sema imekosa mvuto🤣Acha basi sasa kwa ubora gani niliokuwa nao na kila siku unanifunga halafu wewe ndo trainer wake 😂🙌
Yeah😀😀 unamfahamu?
Mlikuwa mnakamiana😂Aah Warld kama uliscreenshot leta😃😃me leo nilisahau
Ila tumecheza hizi tatuView attachment 3593534
Vile Warld siyo mwema unaweza nenda wewe pamoja na mwanafunzi wako halafu yeye akiwa peke yake na bado akawafunga 😂😂😂Aah Warld kama uliscreenshot leta😃😃me leo nilisahau
Ila tumecheza hizi tatuView attachment 3593534
Kanisumbua mpk ikafika stage ikabid anionee huruma😃😃😃maana nimegongeshewa miamba acha kabisaMlikuwa mnakamiana😂
Tuma code basi 😂😂😂 asante kwa doso.. wacha nijionjee Razor kwanza
Tuone na kesho.. ili tukamilishe huu utetezi😀Hapo ndo huwa napiga mara nyingi, wiki yote hii nimemfunga kwa kupiga hapo, leo kaniotea 😂
Ni kama ilivyo kariakoo derby kwa sasa, ila kunywa mtori nyama ziko chini 😂😂😂Ivi unakumbuka me na wewe ni Derby😃😃😃sema imekosa mvuto🤣
Nenda nitumie 😂😂😂Tuma code basi 😂
Kwa roho yake unaweza sema anaishi bufanka au bugelenga 😂😂😂Huo wema atoe wap
Kipa wangu kashachanganyikiwa tayari hataki nimapte Luis Diaz mapema 😂Tuone na kesho.. ili tukamilishe huu utetezi😀
We tuma hapa nizicopy 😂, nimekutumia request mbona.Nenda nitumie 😂😂😂
Ila sijakuona kule
Na atakuliza vibaya sana 😂😂😂 lengo lake anilize
Mkuu tulia basiNa atakuliza vibaya sana 😂
Kwa heshima 😂🙌Mkuu tulia basi
Wanasema umeleft room😂😂We tuma hapa nizicopy 😂, nimekutumia request mbona.