Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,409
- 102,277
Locked in Iceman album by drake
Selikavu andaa file la kesi.Locked in Iceman album by drake
Unapiga penalty kama unamrushia mtoto mpira unaogopa usimuumize π
Unapiga penalty kama unamrushia mtoto mpira unaogopa usimuumize π
Sema atleast twitch kuliko YouTube πhaisumbui sanaSikuwa naelewa zile settings pale, mtandao wenyewe mgeni nao π
WekaMkuu acha nongwa kelele za hela waachie chura, au ka vipi tu display bank statement zetu hapa.
Kucheza game hakuhusiani na utafutaji, ka ushazoea uamke ndio ule hilo ni lako
Umeanza kuniota hata bado hujapelekwa goba na batistuta.Ipo bana.. na nishakuona π
Nimeota unataka kunipiga goal 20
We mtombweni upoYan watu wanalalamika mishahara hawaioni hadi muda huu, kuna wengne huku wanaangaika na efootball ππ
Dunia hii hatar sana
Eeh! Konami msijeruhusu nikafungwa na huyu noob, mnaweza fanya niombe ban kwa muda... Amiiin πππUnapiga penalty kama unamrushia mtoto mpira unaogopa usimuumize π
Bando pia halitembei sana.Sema atleast twitch kuliko YouTube πhaisumbui sana
Kesho ntakurekodia penalty yanguπEeh! Konami msijeruhusu nikafungwa na huyu noob, mnaweza fanya niombe ban kwa muda... Amiiin πππ
Nimeota unataka kunitoa mafua πUmeanza kuniota hata bado hujapelekwa goba na batistuta.
UmeishaππImegine uwe umejisahau umeenda room halafu injury ipo ON π
Song mshenzi sanaπ€£Baba babaa ππ
Kwan kelele za F zimetoka wap kama sio kule πππ
Dj Boba wamepeleke Gobaπ€£Umeanza kuniota hata bado hujapelekwa goba na batistuta.