Warld
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 698
- 1,671
Mi nifunge tu ila siwashi😃😃 Kuna makosa siwezi fanya kuwasha full blue kulinda goal moja😃😃hilo siwezi labda ziwe tatu nne hivi hapo naweza
Mi nifunge tu ila siwashi😃😃 Kuna makosa siwezi fanya kuwasha full blue kulinda goal moja😃😃hilo siwezi labda ziwe tatu nne hivi hapo naweza
Tutacheza siku nyingine sasaNipe dakik 10 ntarud
Twende moja😃Twende mkuu
Nenda naeTutacheza siku nyingine sasa
Simu haina chaji ina 15 plus kesho mapema sana inabid niwe nimeamka saa 11 inabid niwai kuuchapaNenda nae
The best way to defend is to attackMi nifunge tu ila siwashi
Yeah , hain nomaTutacheza siku nyingine sasa
Me sijuh hiz tactics aise huwa nafanyag san hiviThe best way to defend is to attack
Rusha live kwenye tiktok yako mkuu utapata gift nyingi 😂😂😂Hili darasa linaloendelea huku, inanibidi nitafute notebook
Kweli huruma siyo malezi 😂Nipe user name nikudungunyue😀😀
Kwahiyo wewe ni kupiga penalty tu? 😂Good evening
Mmeshindaje
Poleni na uchovu wa majukumu
Nasubiri pakuche niconcetrate na mikono ya kipa, kisha nimpe shuti qaliiii..watu weuweeeee😋🤗
Bado sijawa pro 😀
Unataka kuniua mkuu
Cc Selikavu
Sasa sielewi mpaka sshv username ni ipi.. ni ile niliyoandika mie Ms Beverlyn au wanayonipa wao? Nikiingia wanasema
Signed in as Navyparent 😀 hii me sijaiweka wallah
Safi 😂I can’t wait.. tuanze kunyooshana 😀
Mie namuombea we muache tu huku ila achunge muda ukimuhitaji awepo.shem atoke tu huko, aje hukuu. Lol
Nimelud nenda na WalrD kajiteteYeah , hain noma
Nitatumia black magic kabla sijapiga penalty nanena jina lako 😂Username naionea kwa wapi
Maana ni kama wamenichanganyia mafile
Afu usiende kwa kipa na viwembe 😀😀
Huu ni mpir kwel ukicheza kwa kujilinda sana unaruhusu kushambuliwa sana utaachia tuu goli liingieMe sijuh hiz tactics aise huwa nafanyag san hivi
Jaribu mkuu kulichezaKonami hapa kwenye mobile game naona kama kawaida sana,niliwaelewa tuu kwenye PC enzi za PES
Ebwana hivi Kuna football mobile game kali kama Dls?