comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 6,644
- 12,010
Nimeli uninstall sasahivi tuu, baada ya kujaribu na kuona halina maajabu, dls imenivutia sanaJaribu mkuu kulicheza
Nimeli uninstall sasahivi tuu, baada ya kujaribu na kuona halina maajabu, dls imenivutia sanaJaribu mkuu kulicheza
Mkuu nia yako apo ni kusema DLS ni kali kuliko Efootball.Konami hapa kwenye mobile game naona kama kawaida sana,niliwaelewa tuu kwenye PC enzi za PES
Ebwana hivi Kuna football mobile game kali kama Dls?
Igweee! 😂🙌
Ulidownload Gb ngapi??Nimeli uninstall sasahivi tuu, baada ya kujaribu na kuona halina maajabu, dls imenivutia sana
Twende moja tukaset mitambo.
KabisaMkuu nia yako apo ni kusema DLS ni kali kuliko Efootball.
Sio chin ya 2, sema hua siangalii sana maana natumia unlimited ya mwezUlidownload Gb ngapi??
Ukimtegemea Edo kissy vitani ujue ushakufa kabla vita haijaanza 😂😂😂Edo alisema saa nne hajalud kabisa 😅😅
Kwan alituma invite yeye au wewe maana nilikua naenda nae mimi angekuja kwangu ajipatie win zake kadhaa 😃😃😃
Dah kwel hatufanani macho😅Kabisa
Ndumba 😂😂Nimelud nenda na WalrD kajiteteView attachment 3590900
Nimecheza DLS since 2014 kama sijakosea nimekuja kuacha mwaka jana ndo nikaja efootball ila DLS kwa efootball linasubiri bado sana wengi wanapenda DLS urahisi wa kucheza ila vitu vingi ameachwaSio chin ya 2, sema hua siangalii sana maana natumia unlimited ya mwez
Mashuti 18 yote hukujua kama kipa wangu ana familia kaka😅😅Ndumba 😂😂
Ni vile umekutana na players wa 57 strength 😂😂Nimeli uninstall sasahivi tuu, baada ya kujaribu na kuona halina maajabu, dls imenivutia sana
Kila mtu na mapendekezo yake lakin nimeona gameplay ya efootball na control haijanivutia kabisa, nimejaribu kucheza lakin halijanivutia.Nimecheza DLS since 2014 kama sijakosea nimekuja kuacha mwaka jana ndo nikaja efootball ila DLS kwa efootball linasubiri bado sana wengi wanapenda urahisi wa kucheza ila vitu vingi ameachwa
😃😃Hata DLS unaanza nao hao haoNi vile umekutana na players wa 57 strength 😂😂
Basiii huyu badge ya fifa anayo aaanze kujiandaa kwaajili ya world cupIgweee! 😂🙌
Ila anazunguka 😂Mkuu nia yako apo ni kusema DLS ni kali kuliko Efootball.
Wameramba umeme huku mkuu.Twende moja tukaset mitambo.
Miamba inahama sio 🚮🚮Mashuti 18 yote hukujua kama kipa wangu ana familia kaka😅😅View attachment 3590902