eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Kila mtu na mapendekezo yake lakin nimeona gameplay ya efootball na control haijanivutia kabisa, nimejaribu kucheza lakin halijanivutia.
Wamekupelekea moto tier 10😃😃😅 kikosi changu kipo tena wote nilishawajaza mpaka mwisho ni wale weusi na ni hili la Online sio lile lilikuwa Hacked...

Ndo ujue kiasi gan nimelicheza

Nilishafkka adi tier one
 
Kuna unafuu mkuu mi sahizi ukisema nianze na account mpya aagh siwezi kwanza ni mateso unakuwa mtumwa events itakulazimu uwe unachez ili kuokota POTW utaanza kucheza hadi my league maana kule angalau utakutana na wachezaji wa mkopo
Mr balle yupo
 
Sema umekutana na ugumu mkuu, huko DLS wachezaji wanakimbia kama wanaumwa kuhara, gameplay yake ndiyo hovyo kabisa 😂😂😂
Mimi sijacheza ku compete nilikua naangalia uhalisia ipi inavutia, Mimi ni mkali wa gemu japo kua sijacheza sana efootball lakin niki install hata sasahiv naweza nikakufunga sana, tena Mimi nachukuaga wachezani wale ambao sio mastaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom