Ndiyo mkuuUlianza na match up moja kwa moja
Me natumia zote mbili ila napenda nitumie dash mpira ukiwa kwanzia katikat mpk kwa mpinzan wang ila akinifiki tu karib na kwang match up inahusika hapoNdiyo mkuu
Hiyo ni welcome party mkuu, utamchukia huyo ๐๐ Nishakaribia.. day 3 leo sijakosa
Naipigia kulia juu juu, kenyewe daily kanakimbilia kushoto
Ushakuwa pro tayari ๐๐๐ sasa siku zote 3 kaniendea upande mmoja..
Razorblade anakosa sababu anamuendea na viwembe kwenye username ๐๐๐kipa anamkomeshaa
Nitajaribu ๐Na wewe mkere achanganyikiwe
Hiyo Navy ni username yako google games.Ms. Beverlyn
Ila nikiingia naona signed in as Navy nini sijui
Kaka nipo nalia hapa ila machozi hayatoki, mimi wakuambiwa namuendea kipa na viwembe kweli? ๐๐๐Aah kumbe ushaajua kumsoma๐๐
Nimepaliwa ๐๐๐Mwambie kabisa kipa akijnyanyua mikono yote miwili apige katikati na asiponyanyua mikono apige pembeni
Wahenga hawaamini ๐We mtu kasema unamkimbia inabidi umuoneshe kuwa ulikuwa unamhurumia.
Kuna kitu umetumia? ๐๐Mkuu nielekeze kukabia dash
Gillette ๐๐Kaka nipo nalia hapa ila machozi hayatoki, mimi wakuambiwa namuendea kipa na viwembe kweli? ๐๐๐
Tulia mkuuNimepaliwa ๐๐๐
We npo timamuKuna kitu umetumia? ๐๐
Nimelia sana ๐๐Gillette ๐๐
Una balaaNdiyo mkuu
Tunafanana ๐๐nijitese na match up kwenye final third ya opponent siweziMe natumia zote mbili ila napenda nitumie dash mpira ukiwa kwanzia katikat mpk kwa mpinzan wang ila akinifiki tu karib na kwang match up inahusika hapo
๐๐Ushaanza kutisha wagen๐คฃHiyo ni welcome party mkuu, utamchukia huyo ๐
Nimelia mno๐๐Kaka nipo nalia hapa ila machozi hayatoki, mimi wakuambiwa namuendea kipa na viwembe kweli? ๐๐๐
Ndiyo maana mtu anaedribble sana nashindwa kukaba , hata kwako nmeona hiyoUna balaa
Mwenyew mzee ๐๐Tunafanana ๐๐nijitese na match up kwenye final third ya opponent siwezi