eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Depal kukucha nitakuwekea maelezo ya namna ya kuweka match ya kucheza nataka ucheze league ya EPL msimu mzima na team yako ya Chelsea😃😃ukimaliza mechi zote 38 na game utakua umejua😃😃
 
Aah hiyo notification achana nayo 😃😃

Nilikupa zile setting umeweka??

Alafu pia dogo si yupo atakuongezea ufundi siku ukienda😃au humtaki
Kurudi alipo dogo ni mpaka Dec 😀
Sikukuu zimeisha sahv

Setting za mchana nilimaliza
Sahv nmestuck kwenye hizo button.. kwani huwezi kumslaidisha na screen ya cm mpk utumie button?
 
Depal kukucha nitakuwekea maelezo ya namna ya kuweka match ya kucheza nataka ucheze league ya EPL msimu mzima na team yako ya Chelsea😃😃ukimaliza mechi zote 38 na game utakua umejua😃😃
😀😀😀 chelsea hawataniponza kweli hata kama ni game, hawaaminiki.!
 
Ya button ndo huwa rahisi.... Ya kuslide tuu simu ni ngumu sana

Utazoea tuu
Nimestuck hapo kwenye tutorial ya mwisho
IMG_1935.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom