eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Huyu Capello ndo kocha sasa na Link up play yake kdg ni nzuri sio kama Za wengine Yan huyu Nilikuwa nataka kumchukua martnez lakn ngoja nikusanye coin nimchukue 😃😃😃
 
Huyu Capello ndo kocha sasa na Link up play yake kdg ni nzuri sio kama Za wengine Yan huyu Nilikuwa nataka kumchukua martnez lakn ngoja nikusanye coin nimchukue 😃😃😃
Na ndo nahamia huko sasa LBC naijua tayali nataka LB sasa😃😃
Nenda tu mie sibadilishi playstyle zangu, akija kocha wa hizi playstyle nishitue 😂
 
Kwani hutaki uwe peke yako mkuu? 😂

Unamshauri amuache Arteta 😂😂😂
Huwezi tuelewa kaka sisi wazee wa haram football 😃😃😃yan hapa nina coins 520 mpaka week ijayo naona mbali kwel 😃
 
Hiyo link up ya capello ni ile ile ya Creative playmaker na fox in the box?
Hapana Orcharchestor na goal poacher sio Fox in the Box

Ndo maana nikasema Vitinha na Ronalod here we go😃😃

Au wela visionary pass kabisa ya Alonso😃😃
 
Hapana Orcharchestor na goal poacher sio Fox in the Box

Ndo maana nikasema Vitinha na Ronalod here we go😃😃

Au wela visionary pass kabisa ya Alonso😃😃
DMF Orcharchestor na CF Adv Striker (Goal Pocher)

Me wa English ya US ukiniambia Pocher najua ni Fox in the Box maana kwangu kuna Adv striker na Pocher😃😃
 
Back
Top Bottom