eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Okay nipe username yako

Kuna kitu kinaitwa treasure link hii ukiichukua unapata zile chance deals za kujaribu bahati ya kupata wachezaji zaid ya 80...

Nipe username yako then ingia online utaona invite pale juu ya friend accept then nitakuinvite room join... Tutaenda kwenye match hatuchezi na usikabe me nitafunga goli moja match itaisha then utaanza kupewa rewards zako kuwa mtulivu kuna moja itakuja ya hiviView attachment 3467102

Ikija usibonyeze next bonyeza kati kati ya hilo box la Gold itafunguka ndani chini kabisa pemben wameandika acquire utabonyeza watakuuliza kama ufanye favorite utakubali au utakataa haina shida....

Tutaenda match tatu zote zikiisha fanya hivi ukizipata zote tatu ludi hapa nikupe maelekezo mengine sasa
Ninashida nahizi treasure link kwenye account yangu ya pili inabidi kesho tufanye jambo kama haupo online sasa
 
IMG_7964.jpeg
 
Wakuu tumefika wanne Telegram mje mje
NEGAN Edo kissy Mill broh Kandambili1 Warld Mr Devil na wengine...
Link hii hapa

Kama huna Telegram download kisha download Vpn hii hapa Playstore 1.1.1.1.1 ili uweze kujiunga utawasha VPN ndo uweke namba ili utumiwe verification code then ukipata njoo group utakuta Proxy utaunganisha then utafuta VPN utaendelea kutumia Telegram kama kawaida...
 
😹😹telegram na group zangu niili zikimbia ili niende mbinguni sasa utakuaje nikirudi tena
 
Wapo busy wamefungiana ndani na wao😃😃
Dah! Hili jina jipya limenichekesha sana, ulichowaza kichwani unajua mwenyewe 😂

Usisahau tumecheza game 2 na tumefungana 😂😂😂

Matokeo mechi ya kwanza Benfica 2-1 Santos, mechi ya pili Benfica 1-2 Santos
NEGAN Gilberto_

Waliozima JF wamenizuia kuvimba, oyaaa fanyeni mje telegram bhana mnazingua na nyie 😂😂😂
 
@Selikavu amepinda😀
 
Kwan hiyo game uliyonifunga iliisha kaka😃😃😃
 
Back
Top Bottom