eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Wewe najua kabisa ulichoka kuwa mteja wangu ukaamua kuingia training ili kufuta uteja na umefanikiwa 😂😂😂
Me nilikuambia kuwa tunafanana kila kitu ila tu smart assist ndo inatutenganisha kwa kile kipind ndo maana unanifunga...😃😃

Siku niliyowasha nadhani ndo nikakata uteja😃😃
 
Na wewe ndo ulinisanua maana niliwashaga tu bila kujua ufanyaji kazi wake vizuri 😂😂😂
 
C ile ya kuanza mashambulizi na attacking midfielder, pia nitumie 4222 au 4213
Eeh mkuu maana niliona kwenye mechi unapata shida sana kuanzisha mashambulizi😃nikaona nikupe suggestions ya 4222 au 4312...

Na Kingine now unacheza Long Balls sio possession game au Quick counter wachezaji hawasogei kufata pasi wanakimbilia mbele kwahiyo jitaid uzoee pasi ndefu ni nzuri kwenye kushambulia na kupata muda wa kujiandaa defensively
 
Nitajaribu kuifanyia kazi hiyo 4312 nione kama itanipa matokeo mzurii
 
Back
Top Bottom