eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Mnaijua Mau U ya maziwa na Asali ndo hii ipo inasumbua Legends wapya ambao Match up haiwakabai😂😂😂
Screenshot_20250905-175108.png
 
Ila wakuu kutumia match up kukaba ni kazi sana kwasababu unapoachia dash tuu mchezaji anasimama na adui anatumia mda huo kupita kama upepo nimejaribu kuitumia kama mlivyoelekeza jana kuigusa pale adui anapokukaribia then unagusa dash haraka aisee, didn't work for me.
 
Utazoea tuu we endelea kucheza😃
 
Ila wakuu kutumia match up kukaba ni kazi sana kwasababu unapoachia dash tuu mchezaji anasimama na adui anatumia mda huo kupita kama upepo nimejaribu kuitumia kama mlivyoelekeza jana kuigusa pale adui anapokukaribia then unagusa dash haraka aisee, didn't work for me.
Ndiyomaana tunakwambia uwe unacheza friend match, sasa wewe unacheza mwenyewe tu kukujenga utachelewa.

Na jambo la ziada ni kwamba tutakupost tu ili ikuume na kukukomaza 😂😂😂
 
Back
Top Bottom