eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Amna mmoja mpe counter target mmoja mwache na free runs ila hizo through ziwe kwa yule mwenye counter target ndo ana chance kubwa ya kupita na akafunga😃😃


Huyo Vieri mbona humtumii vizuri mkuu😃😃

Mpe counter target Batigoal alafu Vieri akae upande wake ili apige blitz vizur na kama ana ss mpe ss kabisa akibaki nyuma tuu unapiga zako Blitz 😃😃😃
😂ngoja nicheki bado nawatafuta wafit
 
Una rank ya ngapi make sure upo ndani ya million moja tuu
Hahahaha npo ndani na kandambili zangu.... napaa mkuu nafikiri nipo rank ya laki 140 kwenye pvp
 

Attachments

  • Screenshot_2025-09-05-10-31-18-189_jp.konami.pesam.jpg
    Screenshot_2025-09-05-10-31-18-189_jp.konami.pesam.jpg
    216 KB · Views: 8
Pia Rodri mpe Deepline 😃😃 ukipata mpira na Pedri we piga through ya nguvu mbele kama una smart assist hilo ni goli hakuna wa kumkamata Batistuta akiondoka😃😃😃
Aah! Yani unarudi kumfundisha matumizi ya smart assist 😂😂😂
 
Back
Top Bottom