Mr Devil
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 14,905
- 34,435
😅😅unafukua makaburi. Kuwapata ma legend sio kazi ndogo uta choma coins sanaaUlimpata??😂😂😂
😅😅unafukua makaburi. Kuwapata ma legend sio kazi ndogo uta choma coins sanaaUlimpata??😂😂😂
Nimewashenyenta huko mpaka basi, hapa nipo hoi 😂.Si tulikubaliana tunagetemea matokeo ya Zanzibar 😀😀
Daah division 3 uwanja wa vita. Ukifika hapa lazima upumzike kwanza😅. Nikifika hapa naweza nitulie kwanza hata week ndo nianze kuchezaYani hawa konami wawe wanaangalia na watu wa kuwapiga hizo script zao 😂.
Nimecheza mechi 6 tu, win 5, loss 1 halafu kuna mmoja nikamfanya mbuzi wa kafara 😂.
👇👇👇
View attachment 3311461
View attachment 3311462
Kuna watu wanasema Tony Adams hana speed, sipingani nao na wala sikubaliani nao ila nimempa kazi muhimu katika mechi ya mwisho.
Beki zipo juu halafu jamaa akapiga mpira mrefu Tony akaanza mfukuzia wakati huo nafikiria nipige tackling au niache maana huwa zinanishinda, jamaa nae akazidi kuupaka mate mpira nikaona bora kula red kwa manufaa ya timu, nikamwambia “Tony kill him” basi kabla jamaa hajaingia kwenye box tony akaitenda kazi vyema 😂.
View attachment 3311482
Hatimae nimemalizana nao kwa siku ya leo na napumzikia hapo kwanza.
👇👇👇
View attachment 3311484
Hapo kipengele mkuu.Daah division 3 uwanja wa vita. Ukifika hapa lazima upumzike kwanza😅. Nikifika hapa naweza nitulie kwanza hata week ndo nianze kucheza
Halafu mechi ya pili ukaniwekea ultra defensive mkuu 😂.Kuna vitu viwili nataka nijifunze toka kwako nadhan vitanisaidia
Kutuliza mpira na kupanga mashambulizi bila kukosea na kukaba😀😀😀
Bado 😀😀😀nataka utoke bila goli😂😂
Hakuna game ambayo nimeweka defensive 😂😂😂 wewe ndo huwa unawasha😂😂😂😂Halafu mechi ya pili ukaniwekea ultra defensive mkuu 😂.
Kwenye mechi za kirafiki ndiyo sehemu ya kujifunza kwahiyo akili yako isiwe kwenye kupata ushindi tu ila kwanza inabidi akili yako iwe umeiandaa kujifunza kutokana na makosa yako na ya mpinzani wako, hii itakusaidia kuwa na utulivu.Kuna vitu viwili nataka nijifunze toka kwako nadhan vitanisaidia
Kutuliza mpira na kupanga mashambulizi bila kukosea na kukaba😀😀😀
😂😂😂Bado 😀😀😀nataka utoke bila goli😂😂
Nashinda lakin natoka nipo hoi
Nitajitaid niwe najifunza niache kukamia sasa😂😂😂Kwenye mechi za kirafiki ndiyo sehemu ya kujifunza kwahiyo akili yako isiwe kwenye kupata ushindi tu ila kwanza inabidi akili yako iwe umeiandaa kujifunza kutokana na makosa yako na ya mpinzani wako, hii itakusaidia kuwa na utulivu.
Mechi yoyote ya kirafiki huwa situmii ultra defensive.Hakuna game ambayo nimeweka defensive 😂😂😂 wewe ndo huwa unawasha😂😂😂😂
Game ya pili ulivyokuwa unaongoza tatu uliwasha moja😀😀 nikasema leo kazi ninayoMechi yoyote ya kirafiki huwa situmii ultra defensive.
Sema nini Mkuu una mchezo wako mzuri sana... Upo calculated kila kitu😀😀me nikiingia kwenye game zako huwa naingia na mentality ya kukaba game nzima😀😀maana nikicheza kdg nafwaaa week
Kama mechi ya kwanza ulikuwa ukija na moto nikipokonya mpira natafuta mchezaji aliyefungua tunagonga, hata goli nilokufunga nilikulazimisha ufanye makosa ndani ya box na ndo najisikia raha sasa nikishinda kwa namna hiyo hata ungekuwa umenifunga zaidi ya goli 2 😂.Nitajitaid niwe najifunza niache kukamia sasa😂😂😂
Ndo maana nimesema raha yangu utoke bila goli maana unanitafuta makosa kila mechi😂😂😂Kama mechi ya kwanza ulikuwa ukija na moto nikipokonya mpira natafuta mchezaji aliyefungua tunagonga, hata goli nilokufunga nilikulazimisha ufanye makosa ndani ya box na ndo najisikia raha sasa nikishinda kwa namna hiyo hata ungekuwa umenifunga zaidi ya goli 2 😂.