Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,570
Sikuwasha mkuu ila nahisi kuna muda mpinzani akishambulia sana inajiwasha yenyewe.Game ya pili ulivyokuwa unaongoza tatu uliwasha moja😀😀 nikasema leo kazi ninayo
Me naonaga nikiwasha ndo kama najiweka kwenye risk ya kushambuliwa sana maana ukabaji wangu tia maji