Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Tofauti ya Quick counter na possession game ni kwenye transition ndiyomaana inashauriwa kama unataka kupossess vizuri tumia QC.Mkuu me natumia Quick counter ndo maana nikikutana na mtu anatumia Possession game nasema kimoyo moyo ameisha huyu😀😀