Kaka mimi nazungumzia uwepesi wa kufanya transition hapo.Huo mfumo ujue unakuwa na wakabaji wangapi??
Haram football tuwe wengiDuh aiseeš
Hii banner kali sana mkuu....sema naona naenda kukuangusha š¤£š¤£Ikifika saa tano tafuta popcorn zako njoo ukae hapa usubili viliošššView attachment 3465486
Na mngojee nimpate huyo Capello sema namkosa Guardiola tuušššAkibituq juu torres anabaki peke yake na kipaš
Transition zipo tuu kikubwa usikose nafasiššKaka mimi nazungumzia uwepesi wa kufanya transition hapo.
Wewe nenda kacheze pira huko la gusa achia twende kwaoššHii banner kali sana mkuu....sema naona naenda kukuangusha š¤£š¤£
Aliyemwambia acheze back 5 amefanya dhambi kubwa sana šNegan ndo master wa huo mchezo humu ndaniššš
Picha linaanza anacheza Back 5
ššTransition zipo tuu kikubwa usikose nafasišš
Unanichota ili nijae mkuu...badae nitatulia sana nipate walau point 1Master kandambili unanisumbuaga sana na zile pass zakoš
š šjamaa kaacha ku dribbleNegan ndo master wa huo mchezo humu ndaniššš
Picha linaanza anacheza Back 5
Ndo mfumo wako originally kabisa yanšššAliyemwambia acheze back 5 amefanya dhambi kubwa sana š
Ukikaba Neymar ndo anahamia kwenye dribble šššš šjamaa kaacha ku dribble
Unaona sasa umeniongezea kitu shukrani sana mkuu, mpaka 2:30 usiku nilikua najifua tuu kwa ajili yenu.Nilikuwa nataka nikutafute tangu jana ila bahati nzuri nikapitiwa na usingizi š
Amorim playstyle yake ni Out Wide na siyo Possession, nenda uweke vizuri kwenye playstyle.
Bonyeza picha yake halafu angalia Playstyle yake itakuwa na rate ya 89 kisha bonyeza palipoandikwa Team Playstyle utaona machaguo ya kubadilisha na utaweka Out Wide.
View attachment 3465290
On paper ni back 5 (523) Lakini uwanjani Formation ni sawa na nilikua natumia msimu uliopita 3133 sababu Carlos na Belleti muda wote wapo kwenye winga ya mpinzani šAliyemwambia acheze back 5 amefanya dhambi kubwa sana š
Tupande kesho mida ya saa 5 nikamkabe Vieriš