eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Bado najinoa wakuu huku naingia humu kuongeza maujuzi baada ya miezi miwili nitakua nawabonda kama ngoma nyote, trust me.
Nilikuwa nataka nikutafute tangu jana ila bahati nzuri nikapitiwa na usingizi 😂

Amorim playstyle yake ni Out Wide na siyo Possession, nenda uweke vizuri kwenye playstyle.

Bonyeza picha yake halafu angalia Playstyle yake itakuwa na rate ya 89 kisha bonyeza palipoandikwa Team Playstyle utaona machaguo ya kubadilisha na utaweka Out Wide.
Screenshot_2025-09-04-22-56-41-33_dacb6cb66c1ceaabd92782c8217a74fb.jpg
 
Back
Top Bottom